Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Hapa ndipo unapokuja umahiri wa Hersi, yule mtu mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kile ndio kichwa kilichowamaliza katika kila mipango yenu yuko one step ahead.

Msipobadilika mkatafuta watu wenye akili na ari kama Hersi mtaendelea kulialia sana. Pengo la Hans Pope hamtokaa mlizibe, mipango hamna siku hizi na tapeli lenu la Kihindi.
 
Naomba iwe kweli, kocha simpendi kabisaaa.
Na dirisha dogo, Ntibanzokiza afurushwee.
Jameni huyu Saido na Mayele si wapo level moja?

Maigizo mliyoyafanya last season kwenye mfungaji bora sasa mambo hadharani, wafungaji magoli wanaonekana.

Siyo kusubili mwisho wa msomi unacheza na timu bovu ufunge magoli matano mechi moja.
 
Lawama zote ziende kwa yanga. Haiwezekani akampachika bao tano mtu aliyetoka kucheza AFL
Mara kadhaa Yangu ikimchapa mtu simba walikuwa wanasema yanga wanacheza na timu mbovu tarehe 5-11-2023 mwanaukome kumbe simba ndiyo mbovu kabisaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…