Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

GSM ni mhuni tu wa kariakoo huwezi hata kidogo kumuweka kundi moja na Mo Dewji tajiri ambaye dunia nzima inamjua.

GSM anatajirikia magumashi ya bandarini na kiama chake kimeshafika, DP World na ufanisi wake ndio mwisho wa uanaharamu wote anaoufanya GSM kwa kuingiza madawa ya kulevya na ukwepaji mkubwa wa kodi.

Simba kufungwa na Yanga 5-1 ni kutetereka tu lakini kila kitu kinarudi kwenye mstari ulionyooka ndani ya muda mfupi ujao.
Kolo lenye matarajio chanya
 
Jiandaeni kufukuza makocha kila mkikutana na Yanga
Sio yanga tu. Kocha akituzingua .. tunampiga chini hata iwe majimaji ya songea.
Kawaida kocha kutazamiwa mechi kadhaa.
Kufukuzwa baada ya mechi ya yanga ni sawa. Hata ziwe mechi 100 zijazo hakuna shida. Ila kama ameprove failure of which huyu rob ameprove. No way out nikumpiga chini.
 
Hapo kwl Kuna hujuma,,lile Goli ya Aziz K sijalielewa kabisa.

Mtafukuza makocha kila mara Dawa Ni kusoma ALALBADIR BAYANA kwa wasaliti wa timu.
 
Ila MOTO wa Mechi uliotokewa na Azam TV Kwa ajili ya mechi hii ulikaa Kiwaki Sana!! "Yaani Mpaka Mseme!!"
 
Tatizo la simba ni viongozi wa timu,kwasababu toka wameanza kua na maamuzi yao ya mihemko yakufukuza makocha hakuna cha maana kilichobadilika kwenye timu nawao bado wapo ofisini.Kila mara wanasema timu ina malengo lakini malengo yenyewe hawataki kuvumilia machungu iki kuyafikia,wanataka waamke leo leo wayapate na bado wanajiona wanafaa kua viongozi.Unafukuza kocha katikati ya msimu na januari kuna dirisha dogo timu imejipangaje kurekebisha mapungufu yaliyopo au watakua busy kutafuta kocha mpya ambaye nayeye hadi akae sawa timu itakua ni hii hii.Viongozi wako busy kutafuna ela za Mo ndo maana kila mara amekua akilalamika nayeye kwasababu hajui tatizo la timu ni nini anaishia kulalamika mtandaoni.Je ni lini watakua tayari kuvumilia kocha ambaye ataisuka timu kwa muda wakutosha ili waanze kunufaika na matunda ya kweli badala yakujifariji nakutaka mafanikio ya ghafla ghafla ambayo matokeo yake nikusababisha waamuzi wafungiwe kwasababu ya mashinikizo ila ukicheza na mkubwa mwenzako ulimi unatepeta.Ngoja tuone ila sioni jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una hoja DUNDUKA ngoja usikilizwe
 
Back
Top Bottom