Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Mlongo, na siku ya Namungo, mtatimuliwa mashabiki wa Simba..!! SubiriNaomba iwe kweli, kocha simpendi kabisaaa.
Na dirisha dogo, Ntibanzokiza afurushwee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlongo, na siku ya Namungo, mtatimuliwa mashabiki wa Simba..!! SubiriNaomba iwe kweli, kocha simpendi kabisaaa.
Na dirisha dogo, Ntibanzokiza afurushwee.
Ahaaa umeamua kuwa mfariji
Kijeba yuleHivi Zimbwe ana miaka mingapi? Mbona anaonekana dogo halafu kila siku naona watu wanasema umri umemtupa mkono?
Kolo lenye matarajio chanyaGSM ni mhuni tu wa kariakoo huwezi hata kidogo kumuweka kundi moja na Mo Dewji tajiri ambaye dunia nzima inamjua.
GSM anatajirikia magumashi ya bandarini na kiama chake kimeshafika, DP World na ufanisi wake ndio mwisho wa uanaharamu wote anaoufanya GSM kwa kuingiza madawa ya kulevya na ukwepaji mkubwa wa kodi.
Simba kufungwa na Yanga 5-1 ni kutetereka tu lakini kila kitu kinarudi kwenye mstari ulionyooka ndani ya muda mfupi ujao.
Kweli wewe nk yanga hii timu wengi ni mashoga shauri yakoTANO
Jiandaeni kufukuza makocha kila mkikutana na YangaJamaa ni zeroooo zerooo. Mseme yoteee jamaaa ni zeeeeeeroooooo. Bora katolewa.
Sio yanga tu. Kocha akituzingua .. tunampiga chini hata iwe majimaji ya songea.Jiandaeni kufukuza makocha kila mkikutana na Yanga
Kolowizawrd weweKweli wewe nk yanga hii timu wengi ni mashoga shauri yako
Kila siku ni jumapili [emoji2772][emoji2772]
You know objectiiiive football we play you know you know gorilla hand you know 🦍 ✋ you knowJamaa ni zeroooo zerooo. Mseme yoteee jamaaa ni zeeeeeeroooooo. Bora katolewa.
Hata wewe ni crocodilewezeirdKolowizawrd wewe
Kolowizawrd mmekula mkonoHata wewe ni crocodilewezeird
Una hoja DUNDUKA ngoja usikilizweTatizo la simba ni viongozi wa timu,kwasababu toka wameanza kua na maamuzi yao ya mihemko yakufukuza makocha hakuna cha maana kilichobadilika kwenye timu nawao bado wapo ofisini.Kila mara wanasema timu ina malengo lakini malengo yenyewe hawataki kuvumilia machungu iki kuyafikia,wanataka waamke leo leo wayapate na bado wanajiona wanafaa kua viongozi.Unafukuza kocha katikati ya msimu na januari kuna dirisha dogo timu imejipangaje kurekebisha mapungufu yaliyopo au watakua busy kutafuta kocha mpya ambaye nayeye hadi akae sawa timu itakua ni hii hii.Viongozi wako busy kutafuna ela za Mo ndo maana kila mara amekua akilalamika nayeye kwasababu hajui tatizo la timu ni nini anaishia kulalamika mtandaoni.Je ni lini watakua tayari kuvumilia kocha ambaye ataisuka timu kwa muda wakutosha ili waanze kunufaika na matunda ya kweli badala yakujifariji nakutaka mafanikio ya ghafla ghafla ambayo matokeo yake nikusababisha waamuzi wafungiwe kwasababu ya mashinikizo ila ukicheza na mkubwa mwenzako ulimi unatepeta.Ngoja tuone ila sioni jipya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeuza mechiBado mpaka mseme hamjasema bado
Pigwa Kofi hadi unalia na mtasema bado hamjasema vilio kila konaTumeuza mechi