Simba yamuuza Cloutous Chama RS Berkane kwa Bilioni 1.5 na mshahara wake wapanda kwa 400%

Watanzania katika ubora wetu, mtakie heri hiyo negativity jaribu kuipunguza mzee
Halina uhusiano na utanzania, heri ninamtakia nyingi sana. Nimekuwa na mtazamo huo tu. Tujifunze kuheshimu maoni ya wengine. Hatuwezi kuwa na maoni yanayowiana kila wakati.

Maneno hayabadili chochote. Jitihada zake, mazingira mapya na mahusiano na team members wake yatamfanya afanikiwe au Vinginevyo.
 
Kama ni kweli, Simba isahau ubingwa hata wa kombe la ndani. Huko CAF champion League ndio kabisa, makundi tu nje.
Wataondoka na magoli yao na assists zao. Replacement ya Chama itawagharimu pesa hiyo hiyo iliyomuuzia. Kiwango cha uchezaji kitashuka kwani mpishi wa biriani kauzwa.
It's a trade off. You can't have both ways. You went for the money, you get poor team performance. In other words, end of the dream.
Subirini tu mwakani wakionyesha viwango vizuri huko na hatimae kuuzwa kwenye timu za Uturuki kwa shs bilioni 14 ndio mtajua mliingizwa mjini na kubakia midomo wazi.
 
Yeah, sure.

Mpira wa sasa ni fursa kwa wachezaji.
Mwanzoni mwa career ya mtu anatoa raha kwa watazamaji. Mwishoni anaangalia mafaniko binafsi.
Sisi tunataka wastaafu soka bila mafanikio tubaki kuwasema.
Siyo kwa soka hili la sasa, unatembea na vitu vyote kwa wakati mmoja.

JamiiForums mobile app
 
Hata Barcelona watafanya tu replacement ya Messi kama ni rahisi. Hakuna replacement ya talent which is God given.
Lakini kitu ambacho hujui ni kuwa hakuna mtu dunia hii asiweza kuwa replaced. People come and go lakini institutions zinaendelea kubaki.

Hebu fikiri mfano hapo hapo Barcelona nani alifikiri kuwa Ronaldinho, Xavi, Iniesta wangesahaulika?

Simba tulikuwa na players ambao unaona kabisa akiondoka na team yetu itakufa mfano akina Okwi, akina Mafisango. Lakini hawapo na Simba bado ipo na inafanya vizuri.

Ndio maana wenzetu Ulaya huko wanakuambia hakuna mchezaji mkubwa kuliko team. Maana yake ni kuwa wanajua wachezaji wanakuja na kuondoka lakini team itaendelea kuwepo.

So usijali Chama aende salama Simba tutaendelea kuwa imara tu.
 
Wajifanya mjuajiiii
 
Sisi wana Simba tunashukuru kwa huduma aliyotoa Chama hapa Simba tunamtakia mafanikio mema huko aliko. Simba tunazidi kusonga mbele. Wenye maoni hasi ni Utopolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…