Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halina uhusiano na utanzania, heri ninamtakia nyingi sana. Nimekuwa na mtazamo huo tu. Tujifunze kuheshimu maoni ya wengine. Hatuwezi kuwa na maoni yanayowiana kila wakati.Watanzania katika ubora wetu, mtakie heri hiyo negativity jaribu kuipunguza mzee
I wish him lucky. Kuondoka kwa Morrisson na Chama kunatofautiana.Kama ameitumikia Simba kwa heshima na mafanikio, hatuna budi kumuombea huko aliko pia azidi kufanikiwa.
Wengi wetu sijui tuna roho gani!!!???
Kwasababu gani chief? Mpira ni ajira na mtu anapopata opportunities sehemu nyingine haina haja ya kuwa na mtima nyongo unamuombea tu mafanikio mema kwakuwa ameondoka bila hiyana na wakati akiwa kwetu alijitoa kwa moyo kupambania team.Hatakua na mafanikio kama alivyokua Simba
Hata Barcelona watafanya tu replacement ya Messi kama ni rahisi. Hakuna replacement ya talent which is God given.Chama hatukudai hata mia. 1.8b sio mbaya tutaweza kufanya replacemen nzuri tu.
2.03b + 1.86b hesabu nzuri kwa mwaka mmoja. Bravo Simba
Yeah, sure.Kwasababu ganu chief? Mpira ni ajira na mtu anapopata opportunities sehemu nyingine haina haja ya kuwa na mtima nyongo unamuimbea tu mafanikio mema kwakuwa ameondoka bila hiyana na wakati akiwa kwetu alijitoa kwa moyo kuoambania team.
All the best to him.
All the best to him. Wishing him lucky.Kwasababu ganu chief? Mpira ni ajira na mtu anapopata opportunities sehemu nyingine haina haja ya kuwa na mtima nyongo unamuimbea tu mafanikio mema kwakuwa ameondoka bila hiyana na wakati akiwa kwetu alijitoa kwa moyo kuoambania team.
All the best to him.
Lakini kitu ambacho hujui ni kuwa hakuna mtu dunia hii asiweza kuwa replaced. People come and go lakini institutions zinaendelea kubaki.Hata Barcelona watafanya tu replacement ya Messi kama ni rahisi. Hakuna replacement ya talent which is God given.
Linafeli wapi wakati hata Jersey kapewa BandaKuna kila dalili la Miquessone kufeli.
Anyway, all the best CCC.
Huna deni kaka. Mungu akupambanie.
Wajifanya mjuajiiiiKama ni kweli, Simba isahau ubingwa hata wa kombe la ndani. Huko CAF champion League ndio kabisa, makundi tu nje.
Wataondoka na magoli yao na assists zao. Replacement ya Chama itawagharimu pesa hiyo hiyo iliyomuuzia. Kiwango cha uchezaji kitashuka kwani mpishi wa biriani kauzwa.
It's a trade off. You can't have both ways. You went for the money, you get poor team performance. In other words, end of the dream.
Subirini tu mwakani wakionyesha viwango vizuri huko na hatimae kuuzwa kwenye timu za Uturuki kwa shs bilioni 14 ndio mtajua mliingizwa mjini na kubakia midomo wazi.
nyie ndo mashabiki wa Simba wenye akili ya mpiraChama hatukudai hata mia. 1.8b sio mbaya tutaweza kufanya replacemen nzuri tu.
2.03b + 1.86b hesabu nzuri kwa mwaka mmoja. Bravo Simba
nyie ndo mashabiki wa Simba wenye akili ya mpiraChama hatukudai hata mia. 1.8b sio mbaya tutaweza kufanya replacemen nzuri tu.
2.03b + 1.86b hesabu nzuri kwa mwaka mmoja. Bravo Simba
Mtu atakayeona hii comment bila kusoma mada mzima lazima aandike R.I.P ChamaDaaah hatimae imekuwa kweli!
Nenda Chama, daima utabaki mioyoni kwa mashabiki wa Simba kama ilivyokuwa kwa Emmanuel Okwi!
Thank you for memories!!