GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake ila akishapita tu Oktoba 2025 msitegemee kumuona akihangaika nanyi tena kwa lolote lile kwani alitaka kuwafanya Ngazi / Daraja la kuelekea kule anakokutaka na kweli kwa 99% mmemfanikishia hilo.