GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa nini asiwasaidie wakati ana dhamana ya kufanikisha Afcon?Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake ila akishapita tu Oktoba 2025 msitegemee kumuona akihangaika nanyi tena kwa lolote lile kwani alitaka kuwafanya Ngazi / Daraja la kuelekea kule anakokutaka na kweli kwa 99% mmemfanikishia hilo.
Yanga msihusishwe vip wakati nyie ndio wananchi mwenyewe na kijani kibichi na njano inang'ara?Acha kutuhusisha Yanga
Nia na Dhamira ya ya Rais na kipenzi pekee cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye michezo, hususani wa mpira wa miguu, ni ya kudumu.Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake ila akishapita tu Oktoba 2025 msitegemee kumuona akihangaika nanyi tena kwa lolote lile kwani alitaka kuwafanya Ngazi / Daraja la kuelekea kule anakokutaka na kweli kwa 99% mmemfanikishia hilo.
Kama inayomsumbua Mama yako Mzazi.Afya ya Akili wala sio Umli
Hapa ndio umethibitisha ugonjwa wako wa Afya ya AkiliKama inayomsumbua Mama yako Mzazi.