Simba yasaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kama Mdhamini Mkuu

Nani amesaini kwa niaba ya Simba , Kaduguda , MO au Babra ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua kunifurahishaaa. Umemuwezea haswaaa.
 
Niamini mm Mzee wangu.....watu tuna watu wetu kwenye hizi timu za kariakoo
Wee mtu mwenyewe upo kwa shem wako kutwaa kushinda JF, hapo watu uwatolee wapi? Hebu hapa sio FB? jishikilie wee kijana. Lol
 
Maaaskini MAKOLO [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu Wamebandua Sportpesa Wameweka M-Bet..Wakati Hawa Huwa Wanajisifu Mambo Yao Wanafanya Kiuweledi Hii Vp Tena?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kwa taarifa m bet ndio anadhamini kambi huko Misri, hivyo ilikuwa muhimu kuvaa jezi mpya.
 
Imenibidi kurudi kuangalia tena hiyo taarifa, sijaona mahala inatamkwa bil 15, kilichotamkwa ni miaka 5. Au kuna taarifa tofauti?

Hawajataja ili kumuweka tarimba kwenye mtego. Maana naye aliwafanyia uhuni.
 
Yaani wewe graduate kapuku usie na kazi maalumu ndo uwe na watu???
Oneni hii ng'ombeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu mbona makasiriko ni mengi hasa kwa mm Jobless
 
Mkuu mbona makasiriko ni mengi hasa kwa mm Jobless

Dogo wewe kama kijana pambania hali yako ya kiuchumi acha ushabiki maandazi. Yaani mtu huna Hata laki 3+ cash unashinda mitandaoni kupiga kelele za kiushabiki?? Hizo kelele waachie wale ambao wanaingiza pesa kupitia kelele hizo, wewe kama kijana mwenzangu ambao bado tunahaso (hustle), tushabikie mpira kama burudani (refreshment) hasa baada ya kuchapa kazi na kufunga mahesabu ya siku!!!
 
Hata hivyo kijana hunijui wala sikujui,wala tusichoshane sana

Punguza kutoa ushauri kwa watu usio wajua hasa kwenye hii platform ya JF

Kila mtu ana hali yake ya maisha,ambayo yanamfanya ana survive ktk maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…