Yaani Mbumbumbu buana.Simbaaaaaaaaaaaaa bado Neymar tu tumbebe aje apagawe na wazinzi wa magomeni
Hilo shipa ndo maana lilikuwa linacheza kwa Kanjibhai FC.Ukifuatilia rekodi zake na aina ya uchezaji wake anaonekana yupo vizuri kuliko yule mwenzake ambaye ni mshambuliaji.
Kweli kabisa mkuuUkifuatilia rekodi zake na aina ya uchezaji wake anaonekana yupo vizuri kuliko yule mwenzake ambaye ni mshambuliaji.
Mkuu wote ulioanza nao chekechea wote mlifika Chuo kikuu? Kumfananisha na kutoa mfano wa watu aliocheza nao nikichekesho,yeye alikwama wapi hadi kuja east Africa? Brazil ni nchi yenye vipaji vingi vya soka ila siyo kila mtu toka Brazil ni mchezaji wa mpiraAnaitwa Gerson fraga,ametokea ATK inayoshiriki ligi ya India,amewahi kupita katika klabu ya Gremio ya Brazil,pia amepita ktk timu za vijana za Brazil chini ya miaka 17 ambapo alikuwa nahodha ktk kikosi kilichokuwa na wachezaji kama Neymar,casemiro na Alison wa Liverpool,View attachment 1138195View attachment 1138192View attachment 1138193View attachment 1138194
Sio pouwa;
Yani vyura kwa kutetema lohYaani Mbumbumbu buana.
Acha kuwatisha mkuuHuyu anaonekana fundi, kama asingeyumba angeweza kuwa mrithi wa Thiago Silva. Kwa ligi zetu atakimbiza.
Acha kuwatisha mkuu
hahaha kuwatisha vyura fcKivipi mkuu!!