Simba yatambulisha beki Mbrazil

Simba yatambulisha beki Mbrazil

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,645
Anaitwa Gerson fraga,ametokea ATK inayoshiriki ligi ya India,amewahi kupita katika klabu ya Gremio ya Brazil,pia amepita ktk timu za vijana za Brazil chini ya miaka 17 ambapo alikuwa nahodha ktk kikosi kilichokuwa na wachezaji kama Neymar,casemiro na Alison wa Liverpool,
FB_IMG_1561459733090.jpeg
View attachment 1138192View attachment 1138193View attachment 1138194
 
Anaitwa Gerson fraga,ametokea ATK inayoshiriki ligi ya India,amewahi kupita katika klabu ya Gremio ya Brazil,pia amepita ktk timu za vijana za Brazil chini ya miaka 17 ambapo alikuwa nahodha ktk kikosi kilichokuwa na wachezaji kama Neymar,casemiro na Alison wa Liverpool,View attachment 1138195View attachment 1138192View attachment 1138193View attachment 1138194
Mkuu wote ulioanza nao chekechea wote mlifika Chuo kikuu? Kumfananisha na kutoa mfano wa watu aliocheza nao nikichekesho,yeye alikwama wapi hadi kuja east Africa? Brazil ni nchi yenye vipaji vingi vya soka ila siyo kila mtu toka Brazil ni mchezaji wa mpira
 
Back
Top Bottom