venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Anaitwa Gerson fraga,ametokea ATK inayoshiriki ligi ya India,amewahi kupita katika klabu ya Gremio ya Brazil,pia amepita ktk timu za vijana za Brazil chini ya miaka 17 ambapo alikuwa nahodha ktk kikosi kilichokuwa na wachezaji kama Neymar,casemiro na Alison wa Liverpool,
View attachment 1138192View attachment 1138193View attachment 1138194