Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Anashangazwa sana kutojua mambo rahisi kama haya..!
 
MIMI NINA SWALI KWA MUDY, B20 ZETU ZIKO WAPI?
Nadhani ni vyema ukaja na document zinazoonyesha ni wapi zilipo zile 40B za Azam, bila kusahau zile mlizosaini juzi na SPESA.


Ukiweza kuzileta hapa na kila mtu akaamini, sidhani kama kuna shabiki yoyote yule wa Simba Sc atashindwa kukuonyesha zile 20B za MO zilipo.
 
Tena barbra ana huruma,mimi boko,nyoni,muzamilu,gadiel,kagere,mugaru ningewapiga risasi kabisa
 
Mbona mnapovukwaaa?.hamuamini macho yenu?.simba inawaanzishia nyinyi kazi yenu ni kuja kunakili. We are unstoppable
Club zishauriwe zisiwe zinaingia mikataba zaidi ya miaka 3. Miaka 5 ni mingi mno, mambo yanaweza kubadilika kwa kiasi kwamba ukiwa na mkataba wa muda mrefu unaweza baki unaugulia maumivu ya mkataba.
 
Waelezeeeeeeeeeee!!!!! Woyooooooooooooh
 
sawa
 
Tena barbra ana huruma,mimi boko,nyoni,muzamilu,gadiel,kagere,mugaru ningewapiga risasi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Club zishauriwe zisiwe zinaingia mikataba zaidi ya miaka 3. Miaka 5 ni mingi mno, mambo yanaweza kubadilika kwa kiasi kwamba ukiwa na mkataba wa muda mrefu unaweza baki unaugulia maumivu ya mkataba.
Terms ni win win situation, usiizungumzie Simba tu. Vaa viatu vya M-bet, ili watoboe wamedinda miaka 5 utafanyaje kama hakuna dau nono la miaka 3? Kumbuka M-Bet hakuwa peke yake, kulikuwa na Evaluation Committee yenye wasomi wakichekecha mikeka
 
Sidhani kama Simba Sc wangeachana na Spesa ikiwa alikuwa na masilahi makubwa kuliko yale ya M-bet, walipiga hesabu wakaona faida ipo huko.

Lakini pia haileti hamasa za kiuwekezaji ikiwa Spesa pekee ndio atakuwa anahodhi mikataba na team zote kubwa za Simba Sc& Yanga Sc.
 
Kwa Mara Ya Kwanza
Kwa Mara Ya Pili
Kwa Mara Ya Tatu Na Mwisho, Top Top Top (Juu Juu, Mbele Mbele)


Mawinguni Haa Haa
 
Simba haitakiwi kufungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…