Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Haya sasa SIMBA bado haijakidhi vigezo vya kuwa KAMPUNI as per TUME YA USHINDANI (FCC)

Hivyo Simba inatambulika kama NOT FOR PROFIT ORGANIZATION (NGO) bado, ambao bado wanategemea SPONSORSHIP, SUBSCRIPTION FEES na Winners katika mapato yao. Hivyo wao kama Simba hawana PROFIT wana SURPLUS tu.

Je NGOs wanalipa INCOME TAXES kwa sheria zetu za KODI??

Mkuu nani alikuambia NGO’s hazilipi income tax? NGO’s, charitable organizations na religious institutions zinalipa kodi kama kawaida, watu wengi hudhani hizi institutions ziko exempted kulipa kodi...sema tu mode ya kuzi tax iko very technical. Kwa msaada zaidi soma kufungu cha 64 cha The Income Tax Act utapata mwanga. Hili ni eneo pia mie nimefanya Thesis yangu ya undergraduate naweza kukupa lecture kidogo. Huwezi kuingiza faida halafu eti wakuache tu (vilabu vya mpira kwa sasa vinafanya biashara so TRA hawezi kuwaacha)
 
Kama idris sultan mpunga wa big brother aliulipia income tax itakuwa kwa timu,kama kanisani tunatoa fungu la kumi kwa kila kipato mwigulu ndio akuachie
 
Back
Top Bottom