Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Manula kajitahidi kwa kweli,maana simba wangeshatoka mapema ndani ya dakika 90,manula kawapa heshima kutoka kiume,hongera manula aliyewacost simba si mwingine ni mugalu
Zile dk 5 za mwanzo kasave mbili za hatari.
 
Simba ni Simba tuu

Hata hao Orando wakilala wanajua kabisa wamekutana na Tim Ngumu tena ya Kibabee.

Sasa uto wajipange Mbwa hawaa
 
Hongereni timu yangu Simba kwa hapo tulipofikia..najisikia fahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…