Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Kwangu bora concentration yetu iwe kukaba kwanza, then kushambulia kuwe secondary objective, kwa ubora wa hao jamaa hasa baada ya kuwafunga lile goli mpira walioanza kuucheza kwa Mkapa sio wa kupishana nao, tutulie kwetu waje tuzuie kwanza.
Shida ni umakini wetu mdogonkwenye kuzuia, hapa tuendelee kuomba wao wafanye makosa ya kutukosa kosa hivi hivi.

Nguvu moja mzee
 
Shika adabu yako wewe, unaona watu wamezamia sio? Sema watafutaji wanaume halisi. Sio wewe upo kwa mtogole
Naivizia vizia ubwabwa wa Mama home mkuu,siyo lazima wote tuzamie Sauzi.....sema nawewe nikupe mchongo wa kuingilia Malawi...... ungekuwepo dimbani hapo
 
Back
Top Bottom