joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Offside mmezulumiwa mwatani zangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lilipokuja swala upigaji wa Penalty nilijua kabisa hatuna watu watulivu, Geita Gold kuna wacheza penalty wazuri kuliko sisi.
Tukutane Tar 30SIMBA NGUVU MOJAA...
nyie ni wanaume ...hamfanani na wale wa KANGA wapokea wageni ....
MtajutaHawataamini tutawwapiga kwemy mshomo though jmaaa wameiva aise hi michuano ni nzuri San unaimarika kwa namna fln so tuziwabeze wanaweza wakaja kutuangushia zigo la hasiraa
Kule MMU?? Sijapita kitambo kule, itabidi nianze kukutembeleaMimi nipo jukwaanii kwangu mbona, sikosekani kule
Wanaume wako nusu fainaliSimba ni wanaumeeeeeee narudia tena simba ni wanaumeeeee
Una uhakika na hili Au unatufariji tu ?Offside mmezulumiwa mwatani zangu.
Ulivyoandika hapo, nimekumbuka alivyokuwa anatetemeka hadi kachozi kamenitoka. Hopeful atapata msaada sahihi; atakuwa sawa tuHonestly nimemuonea huruma sana
OYAAAA [emoji1787]Nimeliona goli moja SIMBA 1-0
Seriously natizama replay haba ZBC2,kwa mtazamo wangu ni Offside.Una uhakika na hili Au unatufariji tu ?
OYAAAA [emoji1787][emoji1787]kuna mafundi 2 mmoja wa Mlingotini mwingine Isevya Tabora wote wameona Simba ana goli moja.
Manula kajitahidi kwa kweli,maana simba wangeshatoka mapema ndani ya dakika 90,manula kawapa heshima kutoka kiume,hongera manula aliyewacost simba si mwingine ni mugaluJamaa leo kaokoa nyingi sana, sema sie wabongo sio waelewa.
Mechi ya jpil utopolo kuna uwezekano mkubwa wa kushinda mana mechi ya leo imewachosha sn wachezaji wetu.Hawataamini tutawwapiga kwemy mshomo though jmaaa wameiva aise hi michuano ni nzuri San unaimarika kwa namna fln so tuziwabeze wanaweza wakaja kutuangushia zigo la hasiraa