Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Bora. Mlizidi kelele
IMG-20220424-WA0032.jpg


Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Wapo wataokuwa na wakati mgumu kwenye haya matokeo ila kwa enonga itakuwa ni zaidi

Enonga kuna muda camera ilimuonesha akiwa anatetemeka sana baada ya kukosa ile penalty, sidhani kama mentality yake iko poa


Haya matokeo yamem-disgusting sana
Imemuuma sana aisee
 
Acha kukariri, chama na miquissson ndio nini? We unadhani unakaa nao milele? Halafu lazima uelewe kuwa ni haki ya wachezaji kuhama. Ukimg'ang'ania atamaliza mkataba na kuondoka bure. Mpira ni biashara kama hujui haya acha ushabiki, kuwa mwananchi wa kawaida tu.
Daaa, kwisney! Tumeshindwa kuvunja mwiko. Mwakani Kikosi kisukwe upya! Mwaka huu hatukua vizuri labda uchovu wa miaka minne mfululizo ligi kuu na Kimataifa.
Kumuuza Chama na Miquissone lilikua kosa kubwa sana, team ikakosa muunganiko.
 
Ni 'Orlando' sio Kaizer, mshambuliaji kama Mayele kukamiwa na beki kama Inonga ni kawaida kwenye mpira.

Acha utoto.
Lengo lake alikuwa hataki Mayele ateteme
Hiyo Kaizer ni midadi ya furaha imezidi

Apunguze kukamia pasipo na faida
 
Lengo lake alikuwa hataki Mayele ateteme
Hiyo Kaizer ni midadi ya furaha imezidi

Apunguze kukamia pasipo na faida
Yeye ni beki, hivyo kumkamia Mayele ni jukumu lake na mpira wa watani upo hivyo.

Acha Utoto
 
Back
Top Bottom