DINHO
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 880
- 1,750
Marehemu hawi shujaa mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu hawi shujaa mzee
Imemuuma sana aiseeWapo wataokuwa na wakati mgumu kwenye haya matokeo ila kwa enonga itakuwa ni zaidi
Enonga kuna muda camera ilimuonesha akiwa anatetemeka sana baada ya kukosa ile penalty, sidhani kama mentality yake iko poa
Haya matokeo yamem-disgusting sana
Akawakamia na Orlando,ila akarudi kucheza na PambaWivu tu huu, kisa alimkamia Mayele.
Acha utoto.
Ni 'Orlando' sio Kaizer, mshambuliaji kama Mayele kukamiwa na beki kama Inonga ni kawaida kwenye mpira.Akawakamia na Kaizer,ila akarudi kucheza na Pamba
Daaa, kwisney! Tumeshindwa kuvunja mwiko. Mwakani Kikosi kisukwe upya! Mwaka huu hatukua vizuri labda uchovu wa miaka minne mfululizo ligi kuu na Kimataifa.
Kumuuza Chama na Miquissone lilikua kosa kubwa sana, team ikakosa muunganiko.
Lengo lake alikuwa hataki Mayele atetemeNi 'Orlando' sio Kaizer, mshambuliaji kama Mayele kukamiwa na beki kama Inonga ni kawaida kwenye mpira.
Acha utoto.
Achana na mimiAcha ujinga ndugu. Hii message yaweza kukuletea shida.
Sawa si mmekolify,yaani hatakupiga penati hamjui?Bahati yao tu. 11 vs 10 plus goli la offside. Kwa Simba hawa Orlando ni timu ya kawaida.
Yeye ni beki, hivyo kumkamia Mayele ni jukumu lake na mpira wa watani upo hivyo.Lengo lake alikuwa hataki Mayele ateteme
Hiyo Kaizer ni midadi ya furaha imezidi
Apunguze kukamia pasipo na faida
This is manyau nyau meusi FC AKA MAKOLOKOLO FC [emoji1787]
Sawa, lakini hii siyo Geita GoldSawa si mmekolify,yaani hatakupiga penati hamjui?
Leo ni mwendo wa kulala kwa raha mstarehe kabisaaaaa....[emoji1732][emoji1]Asante sana Orlando.
Tulia Tu Mkuu Si Unakumbuka Goli La RS Berkane Dhidi Yenu Lilivyokataliwa? Kwaio Hizi Error Ni Kawaida Tu Kwenye Football [emoji23]Bahati yao tu. 11 vs 10 plus goli la offside. Kwa Simba hawa Orlando ni timu ya kawaida.
Kuweni wqzalendo bwana au hamjui kuwa timu zikishinda wakina mzabzab tupanapa mwanya wakugeggeda maana warembo wanakuwa na furahaMji umepoaaaaaa, Orlando mmetutendea haki.
.Manula kajitahidi kwa kweli,maana simba wangeshatoka mapema ndani ya dakika 90,manula kawapa heshima kutoka kiume,hongera manula aliyewacost simba si mwingine ni mugalu