Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

UPDATE:

Kikosi cha Azam kinacho anza leo



KIKOSI CHA SINGINDA FG

 
Uwanja Una Mashabiki wa Simba na Yanga nafikiri wameshaingia Kwaajiri ya Derby
 
Nafasi ya wazi wanapoteza haoa Singida
 
UPDATE

DAKIKA YA 30

Azam wanapata Kona

AZAM FC 1

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…