Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Bob, tumia tu kiswahili. Unaandika pumba kwa kiingereza. Au umetumia google translation? Lugha ya English kama huifahamu andika kwa kiswahili angalau ueleweke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa ana masifa ya kishambaa, limebaki janaa mbwaaa kuaibikaaa.

Limekomaaa kirangaa choteee fyaaaa.
 
ile ni njia ya kuwa zingua kisaokolojia wapigaji wanao fuata ..
sikuona kosa lolote kwake kufanya vile.
ni mpira
Amezinguliwaa yeye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kushangilia ni haki yake kwasababu ni kitendo kilichoonesha dalili ya ushindi kwenye timu yake kwa wakati ule, au mkuu ulitaka amkumbatie phiri kwa kukosa penalty
Muambieniii aendeleee kudevelekaaa, tena azifate camera ya azam akazoom, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumeridhika kwa matokeo. Mwamuzi amechezesha vizuri. Tumeshindwa kuzitumia nafasi tulizopata.

Hivyo nawapongeza kwa kuchukua Ngao ya Jamii msimu huu kwa changamoto ya mikwaju ya penati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya futa machoziii sasa.
 
Diara ana dharau sana ila mpaka umuangalie kwa jicho la tatu. Nb mimi simba lia lia
Jana limekomeshwa na dharau zake zote fyaaa, limebakii aibuu tyuuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kakosea wapi?
Regardless of the final results, Yanga are still the team to beat this season. Simba have run out of gas in the second half while Yanga seemed to get stronger and stronger.

Yanga are still the team to beat this season. Hata sijui alitaka kusema nini.

Yanga is.... Not Are. Halafu anajichanganya anasema to beat...

Simba have run out of gas... Present perfect hiyo. Ilipaswa iwe simple past tense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…