Ni siku nyingine tena, siku nzuri kwa wapenda burudani za mpira wa miguu. Kilele cha Ngao ya Jamii kutokea Mkwakwani Tanga. Watani wa jadi watashuka dimbani majira ya saa 1 usiku kukipiga katika Finali ya Ngao ya Jamii.
Mchezo wa awali utakuwa ni majira ya saa tisa alasiri leo kati ya Azam FC na Singida Fountain Gate wakiwania kumpata mshindi wa tatu.
Nitakuletea live updates za michezo yote kutokea Mkwakwani Tanga, kivumbi ni leo.
Baki na mimi hapa hapa.
View attachment 2715931
FINAL NI KARIAKOO DERBY
View attachment 2715932
======
Kutafuta mshindi wa tatu
MCHEZO UMEANZA
0’ AZAM FC VS SINGIDA FOUNTAIN GATE
01 AZAM FC wanapata Goli Kupitia Kwa Dube baada ya Makosa Ya Kipa Beno
42’ AZAM wanapata Goli la Pili kupitia kwa Sopu
FT : AZAM SC 2 SINGIDA FOUNTAIN GATE 0
AZAM SC NI MAHINDI WA TATU WA NGAO YA JAMII 2023/2024
NEXT : YANGA SC Vs SIMBA SC