Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Ni siku nyingine tena, siku nzuri kwa wapenda burudani za mpira wa miguu. Kilele cha Ngao ya Jamii kutokea Mkwakwani Tanga. Watani wa jadi watashuka dimbani majira ya saa 1 usiku kukipiga katika Finali ya Ngao ya Jamii.

Mchezo wa awali utakuwa ni majira ya saa tisa alasiri leo kati ya Azam FC na Singida Fountain Gate wakiwania kumpata mshindi wa tatu.

Nitakuletea live updates za michezo yote kutokea Mkwakwani Tanga, kivumbi ni leo.

Baki na mimi hapa hapa.

View attachment 2715931




FINAL NI KARIAKOO DERBY
View attachment 2715932
======

Kutafuta mshindi wa tatu

MCHEZO UMEANZA

0’ AZAM FC VS SINGIDA FOUNTAIN GATE

01 AZAM FC wanapata Goli Kupitia Kwa Dube baada ya Makosa Ya Kipa Beno

42’ AZAM wanapata Goli la Pili kupitia kwa Sopu

FT : AZAM SC 2 SINGIDA FOUNTAIN GATE 0

AZAM SC NI MAHINDI WA TATU WA NGAO YA JAMII 2023/2024

NEXT : YANGA SC Vs SIMBA SC
Hongera Azam.
 
IMG-20230812-WA0024.jpg
 
Leo Singida waliona wakipaki bus wataonekana wanyonge, lakini kwa Simba waliona si ajabu sana wakionekana wanyonge. Ni kama Yanga, akijidai kufunguka kwa Simba atapigwa tena, heri apaki bus kama Singida halafu avizie counter attacks na kusubiri mikwaju ya penati
Singida alipaki basi na goli lao likakataliwa.
 
Mashabiki wa Yanga ambao hamjala chakula cha usiku muda ndio huu wajanja wanautumia.

Usifikiri utakuwa na appetite tena baada ya mechi.
 
Mashabiki wa Yanga ambao hamjala chakula cha usiku muda ndio huu wajanja wanautumia.

Usifikiri utakuwa na appetite tena baada ya mechi.
Wewe hujala Makolo wewe kula mapema usije ukakosa hamu ya kula na wengine mtalia kwenye mitalo leo
 
Back
Top Bottom