Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba tutalaumiana bure!
Tatizo la Simba ni usajiri mbovu wa viongozi!
Try again na Mangungu msimu huu tukifeli tena, inabidi wajitathiimini
Wanasajiri bila kubalance timu!
Timu imejaza washambuliaji wengi kuliko viuongo wa kati na mabeki!

Sijui hapo akiumia Mohamed Hussein inakuaje!
Ukiangalia hii mechi! Yanga wametushika katikati!
Mzamiru na Kanoute msimu huu walitakuwa wawe kikosi Cha pili!
Kuhusu Kocha! Mgunda alifaa sana!
Tuombe Mungu!
 
Back
Top Bottom