Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Yao yao🤣👌hivi diara bado Yuko tanga au saivi anaitafuta mombo?SIMBA BADO TUPO MACHO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yao yao🤣👌hivi diara bado Yuko tanga au saivi anaitafuta mombo?SIMBA BADO TUPO MACHO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Pole karibu msimbazi😂😂😂😂 nimecheka sana My dear. Lol.
Penalti hazina mwenyewe.
Pileeeee bantu lady karibu unyamaniAsante my twin, hapa maneno yote yameniisha. Hongereni twin... BRN
Zinaye😂😂😂😂 nimecheka sana My dear. Lol.
Penalti hazina mwenyewe.
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞Pole mtani
Simba timu nzuri sana. Mechi mbili hajafungwa goli lolote, zote za penaltySimba timu mbovu Sana mechi mbili hana goli lolote zote za penati
Kazi mnayo simba
Leo ofisini saa 6 mchanaSIMBA BADO TUPO MACHO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nikanywe bia sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongereni kwa mikimbio 🤣 🤣 🤣huna timu mkuu, umekimbizwa dk 90 golini ujafikia unajisifia penati
Ally Salim ni mzuri kibongo bongo.Azizi Ki leo atajiona mwenye bahati sana.
Huyu dogo sio mzuri alidaka penati ya mzungu huko Uturuki.
Afu we unatuletea kina Yao. Ally Salim kwanza akawa anajiuliza huyu jamaa ni wawapi mbona ana jina la kichina afu ngozi ya kiniga imekuwaje?.
Yani Yao ndio akapewa dhamana awe miongoni mwa watakaoivusha Yanga ichukue kombe.
Yani Yao ndio alikuwa kama mbeba maono wao.
Yule mzungu ambaye penati yake ilichezwa na Ally Salim angemuona Yao akijiandaa kupiga penalti angecheka sana.
😂😂😂 haya bana Mtani
Bob, tumia tu kiswahili. Unaandika pumba kwa kiingereza. Au umetumia google translation? Lugha ya English kama huifahamu andika kwa kiswahili angalau ueleweke.Regardless of the final results, Yanga are still the team to beat this season. Simba have run out of gas in the second half while Yanga seemed to get stronger and stronger.
Yanga mwenzangu ila umeandika Utopolo. Mabingwa wa sasa wa Dunia walishinda Ubingwa kwa PenaltyKwa watu wanaojua mpira ushindi wa penati si wa kufurahia....Na ndio maana kwenye kutoa Tunzo ya Mfungaji bora wananzengo wakasema tuondoe magori ya penati na pia hata magoli ya maza ,msigwa alisema ya penati hayahesabiwi.
Nafasi yake ndi ya kipenzi cha washabikiNimemwangalia Kwa Makini Kibu...toka aingie Nimegundua hata mimi nikiwa Kocha Siwezi kumweka Benchi...
Jamaa ni Mbishi,awe na Mpira au asiwe na Mpira...kifupi hachoki
Akikujibu nishtue..! Maana yaonyesha ana maarifa mafupi yaani.Yanga mwenzangu ila umeandika Utopolo. Mabingwa wa sasa wa Dunia walishinda Ubingwa kwa Penalty
Usitumie nguvu sana kisichotakiwa ni kutoka kwenye mstari kabla ya mpigaji hajaupiga mpira ila Ally Salim hakufanya hivyo trust me hakufanya hicho ulichokisema...Ally Salim ni mzuri kibongo bongo.
Huko nje, hawezi kudaka penalty kea kutoka kwenye mstari halafu mshika kibendela yupo anamwangalia tu Kama juha.