Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Azizi Ki leo atajiona mwenye bahati sana.

Huyu dogo sio mzuri alidaka penati ya mzungu huko Uturuki.

Afu we unatuletea kina Yao. Ally Salim kwanza akawa anajiuliza huyu jamaa ni wawapi mbona ana jina la kichina afu ngozi ya kiniga imekuwaje?.

Yani Yao ndio akapewa dhamana awe miongoni mwa watakaoivusha Yanga ichukue kombe.

Yani Yao ndio alikuwa kama mbeba maono wao.

Yule mzungu ambaye penati yake ilichezwa na Ally Salim angemuona Yao akijiandaa kupiga penalti angecheka sana.
Ally Salim ni mzuri kibongo bongo.

Huko nje, hawezi kudaka penalty kea kutoka kwenye mstari halafu mshika kibendela yupo anamwangalia tu Kama juha.
 
Regardless of the final results, Yanga are still the team to beat this season. Simba have run out of gas in the second half while Yanga seemed to get stronger and stronger.
Bob, tumia tu kiswahili. Unaandika pumba kwa kiingereza. Au umetumia google translation? Lugha ya English kama huifahamu andika kwa kiswahili angalau ueleweke.
 
Kwa watu wanaojua mpira ushindi wa penati si wa kufurahia....Na ndio maana kwenye kutoa Tunzo ya Mfungaji bora wananzengo wakasema tuondoe magori ya penati na pia hata magoli ya maza ,msigwa alisema ya penati hayahesabiwi.
Yanga mwenzangu ila umeandika Utopolo. Mabingwa wa sasa wa Dunia walishinda Ubingwa kwa Penalty
 
Ally Salim ni mzuri kibongo bongo.

Huko nje, hawezi kudaka penalty kea kutoka kwenye mstari halafu mshika kibendela yupo anamwangalia tu Kama juha.
Usitumie nguvu sana kisichotakiwa ni kutoka kwenye mstari kabla ya mpigaji hajaupiga mpira ila Ally Salim hakufanya hivyo trust me hakufanya hicho ulichokisema...


Najua Inauma[emoji28]
 
20230812_153729.jpg
 
Back
Top Bottom