Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Acha porojo. Unaona kila mtu anamjua mtoto wa Simbachawene Kama anavyomjua Rais wa nchi eenhe!? Huyo baba yake mwenyewe sio kuwa anajulikana kiviile. Bila kutamka yeye mwenyewe kuwa Ni mtoto wa Simbachawene, hao ambao gari zao ziligongwa wangefahamu vipi kuwa Ni mtoto wa Simbachawene.!? Au number plate yake imeandikwa "Simbachawene Son"!?
Ametamkia wapi wakati amewakimbia? Je ulitaka baada ya kukamatwa aongope majina Ili Simbachawene asitajwe?
Hii sio sawa.
 
Uwezo wako wa Umbea na kufuatilia maneno ya Wanaume wenzako hauwezi kulingana na kila mtu. Inshort stori za kumchongea mtu, kunfanya apoteze, kumfanya aonekana mbaya siyo pigo zangu Mkuu. Siku zote namwombea heri kila mtu na hata walioko Gerezani natamani sana wapate msamaha na wapate elimu ya saikolojia warudi kuwa raia wema. Kumnanga mtu na kumlisha maneno ambayo hujaskia akiyatamka yeye ndicho ninacho kataaa. Over
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public of
P
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
Paschal hilo ninkosa dogo sana kumfanya waziri awajibike, mtu mzima mlevi anafanya mambo ya hovyo ndio Waziri ajiuzulu? if it were a capital offence kama huo mfano uliotoa hapo sawa. but hii kama waziri alivyotoa tamko ni kuwa anataka kijana wake afundishwe adabu.wanasema mtoto asipofunzwa na wazazi atafunzwa na ulimwengu.Hawa vijana mainly wanaharibiwa huko nchi za nje with bad companies.madogo kama hawa baada ya kurudi wangetakiwa kupelekwa JKT wakanyooke huko
 
Nimeona bandiko la simbachawene juu ya mwanae. Nakubali huenda alifanya makosa lakini labda kosa lake ni kujitambulisha kwamba ni mtoto wako! Na huenda hakujitambulisha kwa nia ya kuwatisha askari ila ni kawaida mtu kujitambulisha, hayo mengine yanayosikika kwenye clip tumeyasikia kwa mtu mwingine lakini sio kwa mdomo wa mtoto wako.

Yote kwa yote ajali ni ajali awe alilewa au namna Gani ajali ni ajali; wengi wanafanya makosa kama hayo hata nyinyi wenyewe viongozi na tunaona vifo vya viongozi wengi tu na mwanao hajaanza kuendesha gari Leo na hata kunywa hajaanza Leo.

Vipi angekufa au kupoteza viungo ungesema mshughulikieni? Wewe ni mzazi hutakiwi kuilinda nafasi yako Kwa unafiki wa kuona kilichompata ni uzembe.

Shukuru Mungu katoka mzima cheo kitaisha lakini yule atabaki kuwa mwanao milele.
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
Ukiangalia video clip ya huyo dogo unajiuliza kama lugha anayotumia ni ya mwana wa waziri au lugha za Kaliobangi?Au wazazi wake walikuwa busy na kuwachia majukumu yote ya malezi ma house maids tu,matokeo yake ndio haya.Samaki mkunje angali mbichi.
 
Afande: "Unamuita mwanaume mwenzio mseng.e?"

Simbachawene Jr: "Ndio, au na wewe unataka"

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwa jinsi huyo muhaya anavyoongea kw unyeyekevu eti "Rakini hapa uko kwenye vyombo vya usarama" ingetokea ni kajamba nani huo mkong'oto ambao angepokea hapo reception ingekuwa ni movie kabisa.
 
Hivi ngozi hii ina nini lakini? Haya wewe ulitaka aseme nini kwa mazingira kama yale? Kwamba atoke hadharani"yule ni mwanangu nampenda sana tena mkome shenzi zenu mumuache aje kumalizia kipande cha kuku hapa" hapo ndio umgefurahi? Yule ni mtu mzima anajua kwa nini alitoa kauli hiyo
 
Uwezo wako wa Umbea na kufuatilia maneno ya Wanaume wenzako hauwezi kulingana na kila mtu. Inshort stori za kumchongea mtu, kunfanya apoteze, kumfanya aonekana mbaya siyo pigo zangu Mkuu. Siku zote namwombea heri kila mtu na hata walioko Gerezani natamani sana wapate msamaha na wapate elimu ya saikolojia warudi kuwa raia wema. Kumnanga mtu na kumlisha maneno ambayo hujaskia akiyatamka yeye ndicho ninacho kataaa. Over
Poa. Wewe kafuatilie maneno ya wanawake wenzio. Jamaa ambao magari yao yaligongwa wanamuonea wivu mtoto wa Simbachawene. Wanatamani Simbachawene ndiye angekuwa baba yao waendeshe wao magari makali na wajulikane na kila mtu Kama anavyojulikana Rais wa nchi bila ya kuhitaji kujitambulisha.
 
Ushamba na ulimbukeni ndio vina mzuzua anajivuna kwa madaraka ya baba yake.
Sasa Simbachane awajibike ajiuzulu mara moja kwa kashfa hiyo ya mwanawe.
Ajiuzulu kwa lipi? Angekuwa yuko na mtoto wake muda huo ningesema iko sawa. Ila dogo kaamua kufanya ubabe kimpango wake.
 
Waziri Yupo sawa. Masuala ya angepoteza maisha au viungo hayajatokea, lililotokea analitumia kama funzo kwa mwanae kuwa uwaziri wake si ngao ya uhakika ya kumlinda na mikono ya sheria. Mzazi akipata nafasi ya kumfunza mtoto anamfunza.

By the way hatutakiwi kuwa busy na masuala ya ongezeko la kutoa fedha bank, Mambo kama haya yanasaidia kuhakikisha huo si mjadala.
 
Ametamkia wapi wakati amewakimbia? Je ulitaka baada ya kukamatwa aongope majina Ili Simbachawene asitajwe?
Hii sio sawa.
Baba yake kashamsaidia kuomba radhi huko. Hiyo radhi ameomba kwa ajili ya Nini!?
 
Uliona zile video za mtoto wa Biden? Na bado Biden Yuko ofisini.

Muda mwingine mzazi unajitahidi Ila watoto hawasikii, hasa hiki kizazi cha hovyo!
Kizazi kipi chema? kizazi cha hovyo mzazi wake hovyo...hawa waliozaliwa 1940 mpaka 1970...hawa watu wa ajabu na wabinafsi mnoo! ndio wameloletea taifa aibu na fedheha

Wakati akina Lumumba,Nyerere,Kaunda nk walipigania kututoa utumwani Misri...hiki kizazi kimetuacha Jangwani kipo Canaan na familia zao wanakula mema ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo ukiwa part ya CCM kwenye uongozi unakuwa juu ya sheria na hao wasenge (Trafiki) wanakuonesha kiwango kikubwa sana cha heshima na uungwana. Huwezi simamishwa kijinga wala kupigwa fine za hovyo.
 
Mfumo mbovu wa Ujamaa ndiyo umeleta matabaka ndani ya nchi. Nchi ina vigogo (ruling elites) na watu wa kawaida. Nyerere ndiyo wa kulaumiwa kwa kutuletea huu mfumo wa Ujamaa.
Ujamaa hauna element ya rulling elites. Ujamaa uko based on ideology of equity ila modification iliofanywa na mwinyi na wenzie waliofuata except Magufuli ndio umeleta classes.

It was all fun hadi pale ambapo mlianza kualika wahindi na watu wa mataifa mengine kuhodhi viwanda na ardhi kwa migongo ya viongozi na chama cha mapinduzi. Huo mfumo toka hapo ukahamia kwenye ubepari ambao haujarasimishwa. Tanzania is a Capitalist country in which nobody cares about others kila mtu anaangalia maslahi yake tu. Hakuna utaifa tena.

Huwezi kuniambia tuko kwenye ujamaa wakati kuna watu wanapora maeneo toka kwa maskini na viongozi wanashirikiana na wageni kufisadi nchi. Katika nchi ambayo kuna multi billionaires na maskini ambaye hata kula yake haijulikani anaishi kwa kudra za Mungu. Unaita ujamaa?
 
Mfumo mbovu wa Ujamaa ndiyo umeleta matabaka ndani ya nchi. Nchi ina vigogo (ruling elites) na watu wa kawaida. Nyerere ndiyo wa kulaumiwa kwa kutuletea huu mfumo wa Ujamaa.
Unafikiri kwanini Magufuli watu walikuwa wanampigia kelele? That guy was having ideology ya kwamba sisi kama taifa wote tunapaswa kufurahia utanzania wetu sio watu flani wainjoy wengine wateseke na hili alilifanya kwa vitendo. He was against capitalism ila alikuwa anaamini ujamaa na kujitegemea. Kulazimisha socialism and self reliance kwa watu ambao wamesha adopt mfumo wa kibepari lazima wakuue tu.
 
Ajiuzulu kwa lipi? Angekuwa yuko na mtoto wake muda huo ningesema iko sawa. Ila dogo kaamua kufanya ubabe kimpango wake.
Mzee Mwinyi alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani hakuwepo kule Shinyanga wakati maafisa wa polisi na usalama walipouwa na kutesa watu lakini aliamua kujiuzulu wadhifa wake.
Na miaka ya karibuni kule Zanzibar ilipozama meli ya abiria (jina la meli nimelisahau) aliyekuwa waziri wa Uchukuzi aliwajibika kwa kwa kujiuzulu.
 
Back
Top Bottom