Ametamkia wapi wakati amewakimbia? Je ulitaka baada ya kukamatwa aongope majina Ili Simbachawene asitajwe?Acha porojo. Unaona kila mtu anamjua mtoto wa Simbachawene Kama anavyomjua Rais wa nchi eenhe!? Huyo baba yake mwenyewe sio kuwa anajulikana kiviile. Bila kutamka yeye mwenyewe kuwa Ni mtoto wa Simbachawene, hao ambao gari zao ziligongwa wangefahamu vipi kuwa Ni mtoto wa Simbachawene.!? Au number plate yake imeandikwa "Simbachawene Son"!?
Uwezo wako wa Umbea na kufuatilia maneno ya Wanaume wenzako hauwezi kulingana na kila mtu. Inshort stori za kumchongea mtu, kunfanya apoteze, kumfanya aonekana mbaya siyo pigo zangu Mkuu. Siku zote namwombea heri kila mtu na hata walioko Gerezani natamani sana wapate msamaha na wapate elimu ya saikolojia warudi kuwa raia wema. Kumnanga mtu na kumlisha maneno ambayo hujaskia akiyatamka yeye ndicho ninacho kataaa. OverAcha porojo. Unaona kila mtu anamjua mtoto wa Simbachawene Kama anavyomjua Rais wa nchi eenhe!? Huyo baba yake mwenyewe sio kuwa anajulikana kiviile. Bila kutamka yeye mwenyewe kuwa Ni mtoto wa Simbachawene, hao ambao gari zao ziligongwa wangefahamu vipi kuwa Ni mtoto wa Simbachawene.!? Au number plate yake imeandikwa "Simbachawene Son"!?
PKwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public of
Paschal hilo ninkosa dogo sana kumfanya waziri awajibike, mtu mzima mlevi anafanya mambo ya hovyo ndio Waziri ajiuzulu? if it were a capital offence kama huo mfano uliotoa hapo sawa. but hii kama waziri alivyotoa tamko ni kuwa anataka kijana wake afundishwe adabu.wanasema mtoto asipofunzwa na wazazi atafunzwa na ulimwengu.Hawa vijana mainly wanaharibiwa huko nchi za nje with bad companies.madogo kama hawa baada ya kurudi wangetakiwa kupelekwa JKT wakanyooke hukoKwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Ukiangalia video clip ya huyo dogo unajiuliza kama lugha anayotumia ni ya mwana wa waziri au lugha za Kaliobangi?Au wazazi wake walikuwa busy na kuwachia majukumu yote ya malezi ma house maids tu,matokeo yake ndio haya.Samaki mkunje angali mbichi.Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Kwa jinsi huyo muhaya anavyoongea kw unyeyekevu eti "Rakini hapa uko kwenye vyombo vya usarama" ingetokea ni kajamba nani huo mkong'oto ambao angepokea hapo reception ingekuwa ni movie kabisa.Afande: "Unamuita mwanaume mwenzio mseng.e?"
Simbachawene Jr: "Ndio, au na wewe unataka"
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Poa. Wewe kafuatilie maneno ya wanawake wenzio. Jamaa ambao magari yao yaligongwa wanamuonea wivu mtoto wa Simbachawene. Wanatamani Simbachawene ndiye angekuwa baba yao waendeshe wao magari makali na wajulikane na kila mtu Kama anavyojulikana Rais wa nchi bila ya kuhitaji kujitambulisha.Uwezo wako wa Umbea na kufuatilia maneno ya Wanaume wenzako hauwezi kulingana na kila mtu. Inshort stori za kumchongea mtu, kunfanya apoteze, kumfanya aonekana mbaya siyo pigo zangu Mkuu. Siku zote namwombea heri kila mtu na hata walioko Gerezani natamani sana wapate msamaha na wapate elimu ya saikolojia warudi kuwa raia wema. Kumnanga mtu na kumlisha maneno ambayo hujaskia akiyatamka yeye ndicho ninacho kataaa. Over
Ajiuzulu kwa lipi? Angekuwa yuko na mtoto wake muda huo ningesema iko sawa. Ila dogo kaamua kufanya ubabe kimpango wake.Ushamba na ulimbukeni ndio vina mzuzua anajivuna kwa madaraka ya baba yake.
Sasa Simbachane awajibike ajiuzulu mara moja kwa kashfa hiyo ya mwanawe.
Baba yake kashamsaidia kuomba radhi huko. Hiyo radhi ameomba kwa ajili ya Nini!?Ametamkia wapi wakati amewakimbia? Je ulitaka baada ya kukamatwa aongope majina Ili Simbachawene asitajwe?
Hii sio sawa.
Kizazi kipi chema? kizazi cha hovyo mzazi wake hovyo...hawa waliozaliwa 1940 mpaka 1970...hawa watu wa ajabu na wabinafsi mnoo! ndio wameloletea taifa aibu na fedhehaUliona zile video za mtoto wa Biden? Na bado Biden Yuko ofisini.
Muda mwingine mzazi unajitahidi Ila watoto hawasikii, hasa hiki kizazi cha hovyo!
Aah we mzee wa kwenda dc na kula kande la maza mchafu . Ila yule dogo Simba si unajua uhusiano wake na mzee, mambo mengine ni family matters hatuyasemi tunawaachia uhuru wao.Mkuu kama nakuona mitaa ya kilambasi, kyara Dom 40 nadhan umenipata[emoji4][emoji4]
Ujamaa hauna element ya rulling elites. Ujamaa uko based on ideology of equity ila modification iliofanywa na mwinyi na wenzie waliofuata except Magufuli ndio umeleta classes.Mfumo mbovu wa Ujamaa ndiyo umeleta matabaka ndani ya nchi. Nchi ina vigogo (ruling elites) na watu wa kawaida. Nyerere ndiyo wa kulaumiwa kwa kutuletea huu mfumo wa Ujamaa.
Unafikiri kwanini Magufuli watu walikuwa wanampigia kelele? That guy was having ideology ya kwamba sisi kama taifa wote tunapaswa kufurahia utanzania wetu sio watu flani wainjoy wengine wateseke na hili alilifanya kwa vitendo. He was against capitalism ila alikuwa anaamini ujamaa na kujitegemea. Kulazimisha socialism and self reliance kwa watu ambao wamesha adopt mfumo wa kibepari lazima wakuue tu.Mfumo mbovu wa Ujamaa ndiyo umeleta matabaka ndani ya nchi. Nchi ina vigogo (ruling elites) na watu wa kawaida. Nyerere ndiyo wa kulaumiwa kwa kutuletea huu mfumo wa Ujamaa.
Mzee Mwinyi alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani hakuwepo kule Shinyanga wakati maafisa wa polisi na usalama walipouwa na kutesa watu lakini aliamua kujiuzulu wadhifa wake.Ajiuzulu kwa lipi? Angekuwa yuko na mtoto wake muda huo ningesema iko sawa. Ila dogo kaamua kufanya ubabe kimpango wake.