enelisamwakapala
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 377
- 493
Ingekuwa Tanzania ya Magufuli, dharau hizi zisingekuwepo Maza anapigiwa mwingi🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo Ukweli WenyeweHapo waziri kaongea tu. Backdoor watamalizana.
Simbachawene mbona unatumia nguvu kubwa kujitetea🤣🤣🤣Viote mbaya kabisa maaana ni wajinga. Iweje mtu yuko chini ya Ulinzi tena kituo cha Polisi ina maaana ameshatii maelekezo halafu anarekodiwa????? Askari hawana weledi wa kazi watupwe huko Namanyere wakajifunze kazi kwanza
Wazee wa Delta nawaona comments za maanaKigoto ilikuwa fire, duuu ukiona jengo tu na pori lake mwili unasisimka tumekula Sana mapera, machungwa na maparachichi kipindi hicho Cha utotoni
Weee weee!! Sasa kalewe wewe hata ukoo wako haujulikani halafu kawatukane tukane uone kama ubwabwa hutaita uwawa!!Unachotakiwa kujua ni kwamba waliokuwa wakirekodi walikuwa wanamprovoke ili warekodi.
Kitu kingine ni kwamba unaongea kana kwamba huwajui polisi wetu walivyo, ni kukuonea, kukubambika kesi na kukudai rushwa, mtu hata kama amefanya kosa, bado ana haki zake, na hiyo ni traffic case, sioni cha mno, kwa mtu alielewa, kuongea ongea ni kawaida tu, no big deal!
Ungekuwa wewe ungejiuzulu!!? Tuache roho mbaya watanzania..mtu kasema ni mtoto wake Ila ni mtu mzima na anajitegemea so awajibishwe kana RAIA yyt yule mwingine....wewe unataka waziri awajibike kwa hilo kosa la kujibishana na hao polisi... Pascal nadhani kuna wakati japo una ufahamu wa mambo mengi ila Una hasira na unaruhusu Sana kutawaliwa na hisia kuliko uhalisia....unatuangusha Sana tunaokuangalia Kama mfano.Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Lete ushahidi wa clip na ww 🙂Rais wetu mmoja hapo nyuma mtoto wake alikamatwa china na madawa ya kulevya. Kesho yake rais aliondoka kimyakimya kwenda kumdhamini. Sasa hivi yupo kwenye cabinet
Simbachawene hawezi kujiondia uwajibikaji.Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Umesema sawaHili ni tukio la kawaida. Limekuzwa kwa sababu ni mtoto wa waziri...
Magari yanabutuana kila cku Dar na watu wanakula kona.
Uko sahihi..Weee weee!! Sasa kalewe wewe hata ukoo wako haujulikani alafu kawatukane tukane uone kama ubwabwa hutaita uwawa!!
Ushahidi si kakiri mwenyewe na kaonyesha mpaka alipomfukia au wewe ni mchaga mwenzako ndio maana unamteteaUshahidi uliuona? Au unajiropokea tu!hapa?
Self reliance ni kile wanachokifanya urusi, una materials unauza nje unaendeleza nchi. Mengine unachakata bidhaa unauza ndani na kwa majirani.
Huko ndiko kujitegemea.
Serikali inakuwa center of the stage ku control na ku regulate uchumi. Private sector inakuwepo ila inadhibitiwa isifanye mambo ya hovyo kama wafanyayo mitandao ya simu.
Kwahio bongo sio bepari ila watu ndio wanaishi kibepari?
Mwanafunzi anapofaulu au timu ya mpira inaposhinda anayesifiwa ni nani?Kosa la mtoto mzazi anahusikaje! Mtoto awajibike yeye baba atamsaidia mbele ya safari kumbuka baba hajamtuma mtoto wala hujawahi amekuwa na tabia za ajabu ajabu ilo namtetea Simbachawene ata asingeomba radhi wangemalizana mahakamani au polisi.
Litoto lake kalilea hovyo angekuwa kalilea kiilokole lisingekuwa hivyo.Anavuna alichopandaSimbachawene mbona unatumia nguvu kubwa kujitetea🤣🤣🤣
umeona lkn jins mtoto anavyowajibu ma ofisa , mm sio mshabiki wa polisi ila nmeona ni dharau kubwa sana kwa jeshi linalowalinda wananchi kuendeshwa na kunguni mmojaHili ni tukio la kawaida. Limekuzwa kwa sababu ni mtoto wa waziri...
Magari yanabutuana kila cku Dar na watu wanakula kona.
kwa hiyo ni sawa tu ? tuwe makin na kuweka waz fikra zetu yawezekana kauli yako ndo ikachochea zaid uwepo wa huu ujinga , muda huu huenda kuna kiongoz wa baadae yupo anasoma post yakoNchi hii viongoz wanafanya mambo sivyo na hawajiuzulu sembuse hii issue ya mtoto
Ungekuwa we mwenyewe hapo
Paskali usingejiuzulu
Ova
waafrika hampig hatua kwa kujiweka mbali na solutions huku mkikumbatia matatizo , lin viongoz watajifunza kutotumia ofisi km kinga yao , sidhan km huyo kijana ni kichaa kuvimba hivyo ndan ya kituo cha polisi bila kujionea uwezo wa baba ake ktk sehem fulan alizopitia na baba aka mkingia kifuaWatu wakianza kujiuzulu kisa watoto au kufumaniana na michepuko, nakuhakikishia hii nchi itakosa viongozi.