mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Nimetafakari nimegundua huenda huyu kijana huenda akawa ana shida fulan ya psychology
Mambo ya pombe tu haya.
Kawaida tu, hutokea.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetafakari nimegundua huenda huyu kijana huenda akawa ana shida fulan ya psychology
Vizuri, ni mtazamo wakoMaskini huwa wana tabia kama zako.
Kujitutumua.
The way ulivyoandika post yako inaonesha hivyo. Kwa mwenye akili atagundua, umeandika kinyonge that's why nikasema hivyo. Huenda nimekutafsiri vibaya.Hata nikupe mwaka mzima huwezi kunionyesha wapi nimejipambanua kwamba ni mtoto wa mlalahoi. Si lazima ukiwa njaa kali kwenu na wengine tuwe hivyo. Na ulalahoi ni subjective, yule dogo ananiheshimu
Wangemtengeneza kabla traffic hawajafika.Wangemfila kimyakimya
Unataka ushahidi gani ikiwa yeye ndo alionyesha alipozika mwil wa mamake na kweli mabaki ya mwili yakakutwa. Unataka kutwambia mamake alikufa natural death? alimhusisha nani ktk mazishi? Ikiwa hakumuua yeye alijuaje amezikwa pale? Kama aliwahi kugundua mamake alikufa na kuzikwa pale isivo kawaida mbona hakutoa taarifa polisi? Haki ya marehemu imeporwa lakini Karma itachukuwa nafasiUshahidi uliuona? Au unajiropokea tu!hapa?
Jamani Pasco, huyo si mtu mzima ana maamuzi yake mwenyewe, hata vitabu vya dini vinaeleza ya kwamba kila mtu atahukumiwa kutokana na matendo yake. Haalafu huyo ni mtu mzima, inawezekana kweli hajalelewa vzr lakini huwezi kumuadhibu mtt kutokana na matendo ya mzazi wa ya mzazi wake. kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe. kwa hiyo ina maan huyu kijana angekamatwa anaiba baba yake ndio aadhibiwe AU angefumaniwa baba yake ndio aadhibiwe, Tuwe wakweli Mhe Waziri amejitahidi kutenda yale ya kwake.Kijana aadhibiwe as an individual sio kwa kuangalia yeye ni mtt wa nani.Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Ameomba radhi kwa ajili ya kupunguzia mihemko.Baba yake kashamsaidia kuomba radhi huko. Hiyo radhi ameomba kwa ajili ya Nini!?
Dah.... Kaka P hapo sio sawa.... Mh Simbachawene amekiri mwenyewe huyo ni mtu mzima. Kama alimlea vizuri tu halafu akaja kuharibiwa na mkewe yeye anahusika vipi? Au vipi mabinti wa viongozi ambao wameolewa Kisha wakafanya tukio? Wazazi wao watahusika vipi? Labda kwa sababu tu nafasi za kazi za siasa ni chache na wanasiasa ni wengi ndiyo zinatafutwa sababu za kumng'oa mtu......Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Wakubwa na watoto wenu mtatumalizia hili taifa ninachojuwa Mimi haswa kwa kamsemo kwani hiyo gari bei niwazi nyinyi hamko radhi kutii sheria kwakuwa mnajuwa kikinuka mnazo pesa za kuwapeleka mkutakako sisi walala hoi ndiotutafia humu nafamilia zetu ninauchungu sana nibora mfanye yote yahovyo kuliko kufisadi vyombo vyaulinzi huku wangeachwa watoto wa walalq hoi wahudumu faida nini wao watafanya kwauchungu kwani wanajuwa hawana kwa kupeleka familia zao lakini kwa sisi waNimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….
Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA … Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lkn pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote.
POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA
George B. Simbachawene (mb).
View attachment 2329436
Kunamatatizo mengi naogopa kusema nahisi nikisema tu nitamuamsha adui itakuwa rahisi kutushambulia au Mimi kuuwawa nadhani kama hatutaki kubadilika tz mwisho siombali tenaKabisa mkuu,jeshi limepoteza sifa, linaendeshwa kisiasa na wanasiasa, halina nguvu tena , halifanyi kazi katika mhimili wake...
Ukitaka kuliona hilo ungeona jinsi walivyo respond mpka kijana anaonekana ana power kushinda wao,anadhalirau jeshi hadharani,
km inavyodhaniwa na wengi kuna mchezo umechezeka kiprotokali ili kuficha aibu lakini litakuja kutokea jingine.
Mtazamo tu.
Blood is heavier than Water. Hii translation kiboko aiseeHapo waziri kaongea tu. Backdoor watamalizana.
Wewe hujitambui au?Safi kwa kujitambua kuwa wewe ni kajamba nani
Kama kweli una uhakika na unachoongea, kwenye scene ipi ameonyesha akili ndogo?Nimesikiliza video ya hilo tukio, mtoto ana akili ndogo kama babake
Unapofanya kosa you need to be humble;sio unaleta utoto wa hamna cha kunifanyaKama kweli una uhakika na unachoongea, kwenye scene ipi ameonyesha akili ndogo?
Unapofanya kosa you need to be humble;sio unaleta utoto wa hamna cha kunifanya
Mkuu leo umenikosha namkumbuka paskali wa 90s ....Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
P. Sio bongo mkuu, madaraka matamu sana hawana uwajibikaji kwa public officeKwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.