Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Hata nikupe mwaka mzima huwezi kunionyesha wapi nimejipambanua kwamba ni mtoto wa mlalahoi. Si lazima ukiwa njaa kali kwenu na wengine tuwe hivyo. Na ulalahoi ni subjective, yule dogo ananiheshimu
The way ulivyoandika post yako inaonesha hivyo. Kwa mwenye akili atagundua, umeandika kinyonge that's why nikasema hivyo. Huenda nimekutafsiri vibaya.
 
Ushahidi uliuona? Au unajiropokea tu!hapa?
Unataka ushahidi gani ikiwa yeye ndo alionyesha alipozika mwil wa mamake na kweli mabaki ya mwili yakakutwa. Unataka kutwambia mamake alikufa natural death? alimhusisha nani ktk mazishi? Ikiwa hakumuua yeye alijuaje amezikwa pale? Kama aliwahi kugundua mamake alikufa na kuzikwa pale isivo kawaida mbona hakutoa taarifa polisi? Haki ya marehemu imeporwa lakini Karma itachukuwa nafasi
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
Jamani Pasco, huyo si mtu mzima ana maamuzi yake mwenyewe, hata vitabu vya dini vinaeleza ya kwamba kila mtu atahukumiwa kutokana na matendo yake. Haalafu huyo ni mtu mzima, inawezekana kweli hajalelewa vzr lakini huwezi kumuadhibu mtt kutokana na matendo ya mzazi wa ya mzazi wake. kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe. kwa hiyo ina maan huyu kijana angekamatwa anaiba baba yake ndio aadhibiwe AU angefumaniwa baba yake ndio aadhibiwe, Tuwe wakweli Mhe Waziri amejitahidi kutenda yale ya kwake.Kijana aadhibiwe as an individual sio kwa kuangalia yeye ni mtt wa nani.
nawasilisha.
 
Baba yake kashamsaidia kuomba radhi huko. Hiyo radhi ameomba kwa ajili ya Nini!?
Ameomba radhi kwa ajili ya kupunguzia mihemko.

baada yakuona hio clip ,pasina shaka alitambua kua makonde ya wanamitandao yanahamishiwa kwake.

Nae kwasababu ni conduct amezoweya , plukushani za stand, akaona auwe so.

Kumbuka Simbachawene ,aliwahi kua waziri wamabo yandani.
Kwa Vyovyote vile Polisi akitajiwa Hiro jina atauloza Tena kwa mshangao Simbachawene huyu waziri🙄?
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
Dah.... Kaka P hapo sio sawa.... Mh Simbachawene amekiri mwenyewe huyo ni mtu mzima. Kama alimlea vizuri tu halafu akaja kuharibiwa na mkewe yeye anahusika vipi? Au vipi mabinti wa viongozi ambao wameolewa Kisha wakafanya tukio? Wazazi wao watahusika vipi? Labda kwa sababu tu nafasi za kazi za siasa ni chache na wanasiasa ni wengi ndiyo zinatafutwa sababu za kumng'oa mtu......
Yaani Leo hii huyu mtoto wangu K niliyemlea kwa maadili ya utii na nidhamu aende baa na mkewe alewe... apigane na polisi ....eti halafu mniambie ning'oke hapa.....patachimbika 😊
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
 
Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….

Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA … Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lkn pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote.

POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA

George B. Simbachawene (mb).
View attachment 2329436
Wakubwa na watoto wenu mtatumalizia hili taifa ninachojuwa Mimi haswa kwa kamsemo kwani hiyo gari bei niwazi nyinyi hamko radhi kutii sheria kwakuwa mnajuwa kikinuka mnazo pesa za kuwapeleka mkutakako sisi walala hoi ndiotutafia humu nafamilia zetu ninauchungu sana nibora mfanye yote yahovyo kuliko kufisadi vyombo vyaulinzi huku wangeachwa watoto wa walalq hoi wahudumu faida nini wao watafanya kwauchungu kwani wanajuwa hawana kwa kupeleka familia zao lakini kwa sisi wa
Kabisa mkuu,jeshi limepoteza sifa, linaendeshwa kisiasa na wanasiasa, halina nguvu tena , halifanyi kazi katika mhimili wake...
Ukitaka kuliona hilo ungeona jinsi walivyo respond mpka kijana anaonekana ana power kushinda wao,anadhalirau jeshi hadharani,
km inavyodhaniwa na wengi kuna mchezo umechezeka kiprotokali ili kuficha aibu lakini litakuja kutokea jingine.

Mtazamo tu.
Kunamatatizo mengi naogopa kusema nahisi nikisema tu nitamuamsha adui itakuwa rahisi kutushambulia au Mimi kuuwawa nadhani kama hatutaki kubadilika tz mwisho siombali tena
 
Rais wetu mmoja hapo nyuma mtoto wake alikamatwa china na madawa ya kulevya. Kesho yake rais aliondoka kimyakimya kwenda kumdhamini. Sasa hivi yupo kwenye cabinet
 
Huwa nashangaa mtu anapoifananisha Tanzania na USA....

USA kwa sasa rais wao ni wa 46... Na sisi ndo tuko rais wa 6.... Ndiyo kweli tujifananishe nao?

Wale wako mbali mnoooo!
 
Huo niujinga wa mtoto mwenyewe kama alivo sema mzee Simba huyo nimtu mzima ana familia yake kwahiyo anajua anachokifa
 
Unachotakiwa kujua ni kwamba waliokuwa wakirekodi walikuwa wanamprovoke ili warekodi.

Kitu kingine ni kwamba unaongea kana kwamba huwajui polisi wetu walivyo, ni kukuonea, kukubambika kesi na kukudai rushwa, mtu hata kama amefanya kosa, bado ana haki zake, na hiyo ni traffic case, sioni cha mno, kwa mtu alielewa, kuongea ongea ni kawaida tu, no big deal!
Unapofanya kosa you need to be humble;sio unaleta utoto wa hamna cha kunifanya
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
Mkuu leo umenikosha namkumbuka paskali wa 90s ....
 
P. Sio bongo mkuu, madaraka matamu sana hawana uwajibikaji kwa public office

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom