Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Ingekuwa Tanzania ya Magufuli, dharau hizi zisingekuwepo Maza anapigiwa mwingi🤣🤣🤣🤣
 
Viote mbaya kabisa maaana ni wajinga. Iweje mtu yuko chini ya Ulinzi tena kituo cha Polisi ina maaana ameshatii maelekezo halafu anarekodiwa????? Askari hawana weledi wa kazi watupwe huko Namanyere wakajifunze kazi kwanza
Simbachawene mbona unatumia nguvu kubwa kujitetea🤣🤣🤣
 
Weee weee!! Sasa kalewe wewe hata ukoo wako haujulikani halafu kawatukane tukane uone kama ubwabwa hutaita uwawa!!
 
Ungekuwa wewe ungejiuzulu!!? Tuache roho mbaya watanzania..mtu kasema ni mtoto wake Ila ni mtu mzima na anajitegemea so awajibishwe kana RAIA yyt yule mwingine....wewe unataka waziri awajibike kwa hilo kosa la kujibishana na hao polisi... Pascal nadhani kuna wakati japo una ufahamu wa mambo mengi ila Una hasira na unaruhusu Sana kutawaliwa na hisia kuliko uhalisia....unatuangusha Sana tunaokuangalia Kama mfano.
 
Rais wetu mmoja hapo nyuma mtoto wake alikamatwa china na madawa ya kulevya. Kesho yake rais aliondoka kimyakimya kwenda kumdhamini. Sasa hivi yupo kwenye cabinet
Lete ushahidi wa clip na ww 🙂
 
Simbachawene hawezi kujiondia uwajibikaji.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
 
Binamu yake baba Simbachawene umetia aibu kwa wanao kwanza hata jimboni hukai kazi yako kuhadaa wazee kule kwetu shukuru Mungu mzee wako anakubeba kwa uchawi wako Ila 2025 utakula mweleka mamaaaa....
Eereeeeeee...
 

Ngoja bei za gesi na mafuta ziporomoke utaona umaskini unarudi Urusi. Na Urusi kwa ufisadi ndiyo wanaongoza. Kuanzia huyo Putin na wale oligarchs wote wezi na mafisadi wa hali ya juu.
 
Kosa la mtoto mzazi anahusikaje! Mtoto awajibike yeye baba atamsaidia mbele ya safari kumbuka baba hajamtuma mtoto wala hujawahi amekuwa na tabia za ajabu ajabu ilo namtetea Simbachawene ata asingeomba radhi wangemalizana mahakamani au polisi.
Mwanafunzi anapofaulu au timu ya mpira inaposhinda anayesifiwa ni nani?
 
Hahah, halafu kibaya sasa, toto limefanana na Simbachawene hadi aibu! Huwezi hata kukataa yani
 
Simbachawene mbona unatumia nguvu kubwa kujitetea🤣🤣🤣
Litoto lake kalilea hovyo angekuwa kalilea kiilokole lisingekuwa hivyo.Anavuna alichopanda

Garbage in ,Garbage out toto ndio linatoa garbage out ya garbage in iliyopandikizwa na wazazi wake Mr and Mrs Simbachawene
 
Hili ni tukio la kawaida. Limekuzwa kwa sababu ni mtoto wa waziri...
Magari yanabutuana kila cku Dar na watu wanakula kona.
umeona lkn jins mtoto anavyowajibu ma ofisa , mm sio mshabiki wa polisi ila nmeona ni dharau kubwa sana kwa jeshi linalowalinda wananchi kuendeshwa na kunguni mmoja
 
Nchi hii viongoz wanafanya mambo sivyo na hawajiuzulu sembuse hii issue ya mtoto
Ungekuwa we mwenyewe hapo
Paskali usingejiuzulu

Ova
kwa hiyo ni sawa tu ? tuwe makin na kuweka waz fikra zetu yawezekana kauli yako ndo ikachochea zaid uwepo wa huu ujinga , muda huu huenda kuna kiongoz wa baadae yupo anasoma post yako
 
Watu wakianza kujiuzulu kisa watoto au kufumaniana na michepuko, nakuhakikishia hii nchi itakosa viongozi.
waafrika hampig hatua kwa kujiweka mbali na solutions huku mkikumbatia matatizo , lin viongoz watajifunza kutotumia ofisi km kinga yao , sidhan km huyo kijana ni kichaa kuvimba hivyo ndan ya kituo cha polisi bila kujionea uwezo wa baba ake ktk sehem fulan alizopitia na baba aka mkingia kifua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…