Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

clip ipo zaidi ya hiyo, kifupi tuu mtoto hana adabu na umeona mzazi wake kaomba radhi ujue kuna makosa ndani yake.
 
nawasikitikia hao maafisa kuwa vibarua vyao vitaota mbawa.

Wameanza Mawaziri kututukana.

Wamefuata watoto wao bado wake zao na michepuko yao itumwagie matusi tukome.

Hii ni awamu ya makambale kila mtu ana ndevu.

Tutatukanwa mpaka tujute.
 

Tanzania uharibifu huu ni sifa wala sio kosa la mtu kuwajibika.
nina mifano mingi ya askari walioharibiwa kazi na watoto wa viongozi akiemo Lowassa.
sipendi vitendo vya kutumia madaraka vibaya.
Huyu Simbachawene alitakiwa aende mbali zaidi ya hapo.
 
Kosa la mtoto mzazi anahusikaje! Mtoto awajibike yeye baba atamsaidia mbele ya safari kumbuka baba hajamtuma mtoto wala hujawahi amekuwa na tabia za ajabu ajabu ilo namtetea Simbachawene ata asingeomba radhi wangemalizana mahakamani au polisi.
 
Alichokifanya huyu mtoto wa Simbachawene kinafanywa na Rais, PM, IGP, CJ , Speaker wa Bunge na wote wa vyeo hivyo vya juu maana hakuna cha kuwafanya. Huyu mtot anaiga akijua ana kinga ya Waziri baba yake!
 
nawasikitikia hao maafisa kuwa vibarua vyao vitaota mbawa.

Wameanza Mawaziri kututukana.

Wamefuata watoto wao bado wake zao na michepuko yao itumwagie matusi tukome.

Hii ni awamu ya makambale kila mtu ana ndevu.

Tutatukanwa mpaka tujute.
Viote mbaya kabisa maaana ni wajinga. Iweje mtu yuko chini ya Ulinzi tena kituo cha Polisi ina maaana ameshatii maelekezo halafu anarekodiwa????? Askari hawana weledi wa kazi watupwe huko Namanyere wakajifunze kazi kwanza
 
Bora umenena waziri, kijana hana adabu kabisa! Shame!
Mkuu,kijana kukosa nidhamu kwa sheria zetu ni matokeo ya malezi anayopata,jiulize hadi awe na kiburi hivyo ni mara ngapi ameona Baba yake akifanya sarakasi ili sheria isichukue mkondo wake?

Sisi tumelelewa enzi hizo ukikosea kwa jirani unatamani jirani akuchape na habari zisifike nyumbani maana Baba ndio atakuvunja mgongo.

Ila kama Baba hafuati sheria unatarajia Kijana ataziheshimu?
 
Hili ni tukio la kawaida. Limekuzwa kwa sababu ni mtoto wa waziri...
Magari yanabutuana kila cku Dar na watu wanakula kona.
Maneno ya kwamba hakuna mtu wa kumuweka ndani coz ni mtoto wa waziri nayo unayachukuliaje?
 
Hii ni kwakuwa imesikika public, what if isingefika public angejitokeza kusema hilo!!!
 
Mkuu,kijana kukosa nidhamu kwa sheria zetu ni matokeo ya malezi anayopata,jiulize hadi awe na kiburi hivyo ni mara ngapi ameona Baba yake akifanya sarakasi ili sheria isichukue mkondo wake?
👍
Sahihi kabisa, matamshi yake yanareflect nyumbani kulivyo
 
Ingekuwa bongo hiyo jiwe na mzee wa msoga wasingekuwa marais
 
Nimesoma na dogo mmoja wa Simbachawene enzi za Magufuli. Nilimtangulia vidato kadhaa ila alikuwa akifanya makosa haadhibiwi na shule kwa woga. Tulikuwa tukifanya makosa tunajichanganya naye, ukitaka kutoroka ukawa nae unaweza pita hata kwa mkuu wa shule na usisumbuliwe.

Alikuwa somehow cool, tatizo makundi ya wahuni
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo...

Nakumbuka Jack Straw aliekuwa waziri wa Mambo ya ndani ya Uingereza wakati wa Tony Blair.

Mwanae alikamatwa na bangi kashfa iliyomfanya Straw ajiuzuru.

Kweli kabisa wenzetu hawana ujinga huu.

Ni kuwajibika kwa heshima yake
 
TAARIFA

“Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….

Nimemwagiza Mkuu wa kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la Police na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA …

Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lakini pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote. POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA

Ni Mimi.
George B. Simbachawene(MB)

View attachment 2329496

Your browser is not able to display this video.
 
Kweli akili ni nywele. Kabisa unaamini hapa watu wanaona wivu? Na kuna mjinga mwingine amesema hili ni tukio la kawaida sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…