SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Wote hawaeleweki. Sheria mkononi na nadharia potofu enye mikongano baina ya jamii mbili zinazodai kuwa na haki na wafauta sheria.Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….
Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA … Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lkn pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote.
POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA
George B. Simbachawene (mb).
View attachment 2329436
Kuna sheria zimekuwa twisted.