Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria


Walamba asali wanapotucheza shere!
 
And this is Tanzania my Brother....we are nowhere near either of the Places you mentioned...give us at least another 100 years to reach that level of moral integrity.
 
Maneno ya kwamba hakuna mtu wa kumuweka ndani coz ni mtoto wa waziri nayo unayachukuliaje?
Nasikia Mwl. J. K. Nyerere alikwenda shuleni kwa mwanae akakuta anahudumiwa kifalme tofauti na wenzake akawakaripia walimu na kuwataka wampeleke akakae sawa na wengine mabwenini, mwingine alifanya makosa shuleni ikabidi arudishwe nyumbani mpaka amlete mzazi (JKN) na kweli Nyerere akaenda kumsikiliza Mkuu wa shule kutoa ushirikiano.
 
Wanayme wa dar kweli ni wa ngesse kweli kweli, hii kesi haikuwa ya kupelekwa traffic, ponda mawe alafu muheshimiwa anakuja kuota mzoga wake kwishaaa
 
Wewe umeiona video yoyote ya mtoto wa Biden?
Ilete hapa tuione kama sio propaganda tu.
Uliona zile video za mtoto wa Biden? Na bado Biden Yuko ofisini.
Muda mwingine mzazi unajitahidi Ila watoto hawasikii....hasa hiki kizazi cha hovyo!
 
Afande: "Unamuita mwanaume mwenzio mseng.e?"

Simbachawene Jr: "Ndio, au na wewe unataka"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Angekuwa mtoto wa mkulima angechezea virungu vya kutosha na asingejulikana alipo mpaka mwili wake utakapookotwa Coco Beach kwenye kiroba
 
"Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"
Kweli anajua hakuna kitu watamfanya, watampa tu usumbufu ila watamwachia.
 
Ushamba na ulimbukeni ndio vina mzuzua anajivuna kwa madaraka ya baba yake.
Sasa Simbachane awajibike ajiuzulu mara moja kwa kashfa hiyo ya mwanawe.
 
Afande: "Unamuita mwanaume mwenzio mseng.e?"

Simbachawene Jr: "Ndio, au na wewe unataka"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anae mrekod na kumuuliza hayo maswali siyo afande anaemrekod ni mmoja kat ya hao waliogongewa gari yao
 
Ila kwa Tanzania, traffic aliyemkamata anahamishiwa Tandahimba kwa utovu wa nidhamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…