secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Huyo ndo Rais mtu muugwaana sanaSimbachawene hata uwaziri sijui huwa anaupataje huwa namuona yuko incompetent, hana haiba ya uongozi kabisa
MarhabaaaaMama D shikamoo
Hii nchi kuna watu wanaipenda sana, hayo hayawezi kutokea.Kwa ccm hii hata Baba Levo anaweza kuwa Rais.
Jamaa ni kiongozi mzuri na especially kiutendaji anajua sana sema recently family issues zinamtoa sana mchezoni. Fundi mechanic yupo vizuriSimbachawene hata uwaziri sijui huwa anaupataje huwa namuona yuko incompetent, hana haiba ya uongozi kabisa
Propaganda,WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.
Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao wanategemewa kuwaunga mkono kwenye safari hiyo.
Siyo complicator kabisa yule jamaa. Sasa Samia na simbachawene nani Bora?Simbachawene hata uwaziri sijui huwa anaupataje huwa namuona yuko incompetent, hana haiba ya uongozi kabisa
Machawa wa chadema wame aquire new status.Thread ambazo hutolewa na watu wenye status ya "MEMBER" hizi tuwe tunazipa uzito kiasi.
Unasema hajui chochote kivipi? Nani anakuongoza toka 2021?SASA Gwajima na Samia si bora Gwajima asee!!. Rais gani yupoyupo hajui chochote zaid ya kufunga usgungi tu.
Nothing like that bro!, ikishakaa Kamati kuu na halmashauri kuu, hiyo combination ndiyo katiba yenyewe!, (watu wanauelewa mdogo sana)Wanasema ule mchakato wa kumpitisha kinyemela Hangaya kuwa mgombea ulikiuka Katiba ya CCM
Nini mwendazake, Mama yake Mzazi amemzika hajamfufua.Eti Gwajima, aliahidi kufufua misukule , akashindwa kumfufua Mwendazake.
Halafu ndio aifufue nchi?
Subutu!
Chamwene na huyo bi mdashi nan angalauTanzania ni nchi ya majitu mapumbavu ndiyo maana hata wapumbavu wanawaza kutuongoza! Yaani Makolo ChaWene Naye awe Rais jamani? Hiki cheo kimeshuka hadhi sana! CHADEMA wakifungua mlango tu na mimi naenda kuchukua fomu! Yote hii ni pale andazi kutoka Msoga lilipoweza kupata na andazi jingine limetoboa!
Hilo nalo ni andazi ndilo limo kwenye orodha ya walioporomosha hadhi ya hicho cheo!Chamwene na huyo bi mdashi nan angalau
Duh nan sasa angalau..?Hilo nalo ni andazi ndilo limo kwenye orodha ya walioporomosha hadhi ya hicho cheo!
Wote hao ni fake tu! Hakuna eliye na nafuu! Angekuwa January ningesema ana nafuu lakini siyo haya maandazi!Duh nan sasa angalau..?
Labda wanataka kufanya reformsKwani chama si kimesimamisha wagombea tayari au zilikuwa propaganda 😂
January tena ..?Wote hao ni fake tu! Hakuna eliye na nafuu! Angekuwa January ningesema ana nafuu lakini siyo haya maandazi!