hili shetani samia lenyewe hatulitaki hao polisi tutawauwa mmoja mmojaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.
Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi huku akiweka wazi mabadiliko hayo kuwa ni kulibadili jeshi la polisi kutoka matumizi ya nguvu na kuwa jeshi la kutoa huduma na urekebishaji wa sheria katika suala la ukamataji wa watuhumiwa wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.
Amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu na waandishi hivi karibuni ambapo pia ameahidi kuyafanyia kazi maoni ya tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini iliyoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 2023.
"Hivi ninavyovifanya wako watu wanafikiri ninafanya mimi tu kwa matakwa yangu, hapana ninafanya haya nimeelekezwa na Rais nifanye nini kwamba lazima uhakikishe mahusiano kati ya polisi na wananchi yanakua mazuri, kwamba wananchi wawapende polisi.Leo hii hata polisi akipata shida wananchi wanashangilia nadhani sio sawa maana polisi anatoa huduma kwa wananchi lazima tuboreshe mahusiano" amesema Simbachawene
Ametaja maeneo mawili ambayo ameahidi katika kipindi chake ametumwa kuyafanyia kazi ili kupunguza na kuondoa malalamiko ya wananchi hali inayopelekea wananchi kutotii maelekezo mbalimbali ya serikali.
"Kwanza,mabadiliko ya kimfumo, mabadiliko ya kiutashi kwa mfano mafunzo yetu ya jeshi la polisi lazima tuyaangalie je tunawapa mafunzo ya kwenda kupambana na wananchi au wakawalinde wananchi, wenzetu wale wa tume ya haki jinai, iliyoundwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wametoa mawazo mazuri sana na rais ameagiza tuyasimamie maoni yao na mimi sasa nitakaa na uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,tume ya haki jinai wanasema tusiwe na 'Police Force' bali tuwe na 'Police Service' " amesema Simbachawene
"Hatima ya nchi ya Tanzania iko mikononi mwa watanzania, uwe una rafiki yako yuko nje ya Tanzania, uwe unampenda vipi, awe amekusaidia vipi lakini huku Tanzania ndio wako ndugu zako, watoto wako,watanzania wenzako sasa lazima ujue kwamba ipo siku nitahitaji utulivu Tanzania na endapo amani itatoweka tukawa kama nchi za wenzetu,je wewe utakapokua umekaa peke yako moja ya majuto utakayojuta ni kama hukutoa mchango wa kurekebisha hali ikae vizuri na kumbuka katika kurekebisha vizuri sio kutia utambi ili watu waelewe unachosema." amesema Simbachawene.
Chanzo: Nipashe
Alishasema alitekeleza maazimio yote ya HAKINl JINAI isipokhluwa la katiba mpya.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.
Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi huku akiweka wazi mabadiliko hayo kuwa ni kulibadili jeshi la polisi kutoka matumizi ya nguvu na kuwa jeshi la kutoa huduma na urekebishaji wa sheria katika suala la ukamataji wa watuhumiwa wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.
Amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu na waandishi hivi karibuni ambapo pia ameahidi kuyafanyia kazi maoni ya tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini iliyoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 2023.
"Hivi ninavyovifanya wako watu wanafikiri ninafanya mimi tu kwa matakwa yangu, hapana ninafanya haya nimeelekezwa na Rais nifanye nini kwamba lazima uhakikishe mahusiano kati ya polisi na wananchi yanakua mazuri, kwamba wananchi wawapende polisi.Leo hii hata polisi akipata shida wananchi wanashangilia nadhani sio sawa maana polisi anatoa huduma kwa wananchi lazima tuboreshe mahusiano" amesema Simbachawene
Ametaja maeneo mawili ambayo ameahidi katika kipindi chake ametumwa kuyafanyia kazi ili kupunguza na kuondoa malalamiko ya wananchi hali inayopelekea wananchi kutotii maelekezo mbalimbali ya serikali.
"Kwanza,mabadiliko ya kimfumo, mabadiliko ya kiutashi kwa mfano mafunzo yetu ya jeshi la polisi lazima tuyaangalie je tunawapa mafunzo ya kwenda kupambana na wananchi au wakawalinde wananchi, wenzetu wale wa tume ya haki jinai, iliyoundwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wametoa mawazo mazuri sana na rais ameagiza tuyasimamie maoni yao na mimi sasa nitakaa na uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,tume ya haki jinai wanasema tusiwe na 'Police Force' bali tuwe na 'Police Service' " amesema Simbachawene
"Hatima ya nchi ya Tanzania iko mikononi mwa watanzania, uwe una rafiki yako yuko nje ya Tanzania, uwe unampenda vipi, awe amekusaidia vipi lakini huku Tanzania ndio wako ndugu zako, watoto wako,watanzania wenzako sasa lazima ujue kwamba ipo siku nitahitaji utulivu Tanzania na endapo amani itatoweka tukawa kama nchi za wenzetu,je wewe utakapokua umekaa peke yako moja ya majuto utakayojuta ni kama hukutoa mchango wa kurekebisha hali ikae vizuri na kumbuka katika kurekebisha vizuri sio kutia utambi ili watu waelewe unachosema." amesema Simbachawene.
Chanzo: Nipashe
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.

Mabadiliko ya maana yatakayofanya jeshi la polisi lisiweze kuingiliwa na wanasiasa ni kufanya viongozi wa juu kabisa wa majeshi wasiwe wateule wa rais. Zaidi ya hapo ni komedi tu.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.
Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi huku akiweka wazi mabadiliko hayo kuwa ni kulibadili jeshi la polisi kutoka matumizi ya nguvu na kuwa jeshi la kutoa huduma na urekebishaji wa sheria katika suala la ukamataji wa watuhumiwa wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.
Amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu na waandishi hivi karibuni ambapo pia ameahidi kuyafanyia kazi maoni ya tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini iliyoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 2023.
"Hivi ninavyovifanya wako watu wanafikiri ninafanya mimi tu kwa matakwa yangu, hapana ninafanya haya nimeelekezwa na Rais nifanye nini kwamba lazima uhakikishe mahusiano kati ya polisi na wananchi yanakua mazuri, kwamba wananchi wawapende polisi.Leo hii hata polisi akipata shida wananchi wanashangilia nadhani sio sawa maana polisi anatoa huduma kwa wananchi lazima tuboreshe mahusiano" amesema Simbachawene
Ametaja maeneo mawili ambayo ameahidi katika kipindi chake ametumwa kuyafanyia kazi ili kupunguza na kuondoa malalamiko ya wananchi hali inayopelekea wananchi kutotii maelekezo mbalimbali ya serikali.
"Kwanza,mabadiliko ya kimfumo, mabadiliko ya kiutashi kwa mfano mafunzo yetu ya jeshi la polisi lazima tuyaangalie je tunawapa mafunzo ya kwenda kupambana na wananchi au wakawalinde wananchi, wenzetu wale wa tume ya haki jinai, iliyoundwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wametoa mawazo mazuri sana na rais ameagiza tuyasimamie maoni yao na mimi sasa nitakaa na uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,tume ya haki jinai wanasema tusiwe na 'Police Force' bali tuwe na 'Police Service' " amesema Simbachawene
"Hatima ya nchi ya Tanzania iko mikononi mwa watanzania, uwe una rafiki yako yuko nje ya Tanzania, uwe unampenda vipi, awe amekusaidia vipi lakini huku Tanzania ndio wako ndugu zako, watoto wako,watanzania wenzako sasa lazima ujue kwamba ipo siku nitahitaji utulivu Tanzania na endapo amani itatoweka tukawa kama nchi za wenzetu,je wewe utakapokua umekaa peke yako moja ya majuto utakayojuta ni kama hukutoa mchango wa kurekebisha hali ikae vizuri na kumbuka katika kurekebisha vizuri sio kutia utambi ili watu waelewe unachosema." amesema Simbachawene.
Chanzo: Nipashe
Tatizo siyo polisi. Tatizo ni wanaowatuma polisi. Bila mabadiliko kuanzia kwenye msingi hakuna mabadiliko. Na nikisema msingi naamaanisha katiba nzuri inayotoa haki kwa raia na vyama vyote bila kujali cheo. Nina uhakika wa 100% hawa watawala hawatakubali iandikwe katiba nzuri kwa sababu wataondoka kwenye madaraka kitu ambacho hawataki kabisa hata kuhisi. Jeshi la polisi lenye kujali raia na haki = CCM kuondoka. Tunarudi kule kule. Huu ni ulaghai...mahusiano ya Polisi na vyama vya upinzani haswa Chadema yanapaswa kubadilika.
Simbachawene alihusika kuhujumu 4R, na kukwamisha mabadiliko ya sheria za uchaguzi, na matokeo yake tumeyaona katika uchaguzi wa Oct 29...Simbachawene ni mhuni.
..kipindi Rais Samia anatangaza 4R Simbachawene alikuwa Waziri mwenye dhamana na vyama vya siasa.
..Simbachawene alihusika kuhujumu 4R, na kukwamisha mabadiliko ya sheria za uchaguzi, na matokeo yake tumeyaona katika uchaguzi wa Oct 29.
..yote ambayo anasema atayafanya sasa hivi yalisemwa na wapinzani kwa muda mrefu, na Rais Samia na watu wake walikuwa na muda wa kutosha wa kuyatekeleza mara baada ya kuingia madarakani mwaka 2021.
lo ni funika komba wanaharamu wapite!Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.
Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi huku akiweka wazi mabadiliko hayo kuwa ni kulibadili jeshi la polisi kutoka matumizi ya nguvu na kuwa jeshi la kutoa huduma na urekebishaji wa sheria katika suala la ukamataji wa watuhumiwa wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.
Amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu na waandishi hivi karibuni ambapo pia ameahidi kuyafanyia kazi maoni ya tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini iliyoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 2023.
"Hivi ninavyovifanya wako watu wanafikiri ninafanya mimi tu kwa matakwa yangu, hapana ninafanya haya nimeelekezwa na Rais nifanye nini kwamba lazima uhakikishe mahusiano kati ya polisi na wananchi yanakua mazuri, kwamba wananchi wawapende polisi.Leo hii hata polisi akipata shida wananchi wanashangilia nadhani sio sawa maana polisi anatoa huduma kwa wananchi lazima tuboreshe mahusiano" amesema Simbachawene
Ametaja maeneo mawili ambayo ameahidi katika kipindi chake ametumwa kuyafanyia kazi ili kupunguza na kuondoa malalamiko ya wananchi hali inayopelekea wananchi kutotii maelekezo mbalimbali ya serikali.
"Kwanza,mabadiliko ya kimfumo, mabadiliko ya kiutashi kwa mfano mafunzo yetu ya jeshi la polisi lazima tuyaangalie je tunawapa mafunzo ya kwenda kupambana na wananchi au wakawalinde wananchi, wenzetu wale wa tume ya haki jinai, iliyoundwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wametoa mawazo mazuri sana na rais ameagiza tuyasimamie maoni yao na mimi sasa nitakaa na uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,tume ya haki jinai wanasema tusiwe na 'Police Force' bali tuwe na 'Police Service' " amesema Simbachawene
"Hatima ya nchi ya Tanzania iko mikononi mwa watanzania, uwe una rafiki yako yuko nje ya Tanzania, uwe unampenda vipi, awe amekusaidia vipi lakini huku Tanzania ndio wako ndugu zako, watoto wako,watanzania wenzako sasa lazima ujue kwamba ipo siku nitahitaji utulivu Tanzania na endapo amani itatoweka tukawa kama nchi za wenzetu,je wewe utakapokua umekaa peke yako moja ya majuto utakayojuta ni kama hukutoa mchango wa kurekebisha hali ikae vizuri na kumbuka katika kurekebisha vizuri sio kutia utambi ili watu waelewe unachosema." amesema Simbachawene.
Chanzo: Nipashe
Hawa mazafakas wanatuona sisi wajinga. Jeshi la Polisi limeharibiwa na wanasiasa wenyewe. Ushetani wote unaofanywa na police officers unafanyika kwa maagizo kutoka juu. Mazafakas wameshindwa kuliacha Jeshi la Polisi lifanye kazi professionally!Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.
Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi huku akiweka wazi mabadiliko hayo kuwa ni kulibadili jeshi la polisi kutoka matumizi ya nguvu na kuwa jeshi la kutoa huduma na urekebishaji wa sheria katika suala la ukamataji wa watuhumiwa wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.
Amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu na waandishi hivi karibuni ambapo pia ameahidi kuyafanyia kazi maoni ya tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini iliyoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 2023.
"Hivi ninavyovifanya wako watu wanafikiri ninafanya mimi tu kwa matakwa yangu, hapana ninafanya haya nimeelekezwa na Rais nifanye nini kwamba lazima uhakikishe mahusiano kati ya polisi na wananchi yanakua mazuri, kwamba wananchi wawapende polisi.Leo hii hata polisi akipata shida wananchi wanashangilia nadhani sio sawa maana polisi anatoa huduma kwa wananchi lazima tuboreshe mahusiano" amesema Simbachawene
Ametaja maeneo mawili ambayo ameahidi katika kipindi chake ametumwa kuyafanyia kazi ili kupunguza na kuondoa malalamiko ya wananchi hali inayopelekea wananchi kutotii maelekezo mbalimbali ya serikali.
"Kwanza,mabadiliko ya kimfumo, mabadiliko ya kiutashi kwa mfano mafunzo yetu ya jeshi la polisi lazima tuyaangalie je tunawapa mafunzo ya kwenda kupambana na wananchi au wakawalinde wananchi, wenzetu wale wa tume ya haki jinai, iliyoundwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wametoa mawazo mazuri sana na rais ameagiza tuyasimamie maoni yao na mimi sasa nitakaa na uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,tume ya haki jinai wanasema tusiwe na 'Police Force' bali tuwe na 'Police Service' " amesema Simbachawene
"Hatima ya nchi ya Tanzania iko mikononi mwa watanzania, uwe una rafiki yako yuko nje ya Tanzania, uwe unampenda vipi, awe amekusaidia vipi lakini huku Tanzania ndio wako ndugu zako, watoto wako,watanzania wenzako sasa lazima ujue kwamba ipo siku nitahitaji utulivu Tanzania na endapo amani itatoweka tukawa kama nchi za wenzetu,je wewe utakapokua umekaa peke yako moja ya majuto utakayojuta ni kama hukutoa mchango wa kurekebisha hali ikae vizuri na kumbuka katika kurekebisha vizuri sio kutia utambi ili watu waelewe unachosema." amesema Simbachawene.
Chanzo: Nipashe
Iwapo ni dhamira kutoka moyoni hayo yatawezekana pindi itakapo patikana katiba mpya,yenye kuleta uwajibikaji wa kweli,na utakao liporomosha kabisa jeshi police chinjachinja na kuwawajibisha wale chinjachinja waliojitolea kwa ajili ya Ntu kuwachinja watanganyika vibginevyo ni geresha kama zile za ccm za muda wote.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.
Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi huku akiweka wazi mabadiliko hayo kuwa ni kulibadili jeshi la polisi kutoka matumizi ya nguvu na kuwa jeshi la kutoa huduma na urekebishaji wa sheria katika suala la ukamataji wa watuhumiwa wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.
Amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu na waandishi hivi karibuni ambapo pia ameahidi kuyafanyia kazi maoni ya tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini iliyoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 2023.
"Hivi ninavyovifanya wako watu wanafikiri ninafanya mimi tu kwa matakwa yangu, hapana ninafanya haya nimeelekezwa na Rais nifanye nini kwamba lazima uhakikishe mahusiano kati ya polisi na wananchi yanakua mazuri, kwamba wananchi wawapende polisi.Leo hii hata polisi akipata shida wananchi wanashangilia nadhani sio sawa maana polisi anatoa huduma kwa wananchi lazima tuboreshe mahusiano" amesema Simbachawene
Ametaja maeneo mawili ambayo ameahidi katika kipindi chake ametumwa kuyafanyia kazi ili kupunguza na kuondoa malalamiko ya wananchi hali inayopelekea wananchi kutotii maelekezo mbalimbali ya serikali.
"Kwanza,mabadiliko ya kimfumo, mabadiliko ya kiutashi kwa mfano mafunzo yetu ya jeshi la polisi lazima tuyaangalie je tunawapa mafunzo ya kwenda kupambana na wananchi au wakawalinde wananchi, wenzetu wale wa tume ya haki jinai, iliyoundwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wametoa mawazo mazuri sana na rais ameagiza tuyasimamie maoni yao na mimi sasa nitakaa na uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,tume ya haki jinai wanasema tusiwe na 'Police Force' bali tuwe na 'Police Service' " amesema Simbachawene
"Hatima ya nchi ya Tanzania iko mikononi mwa watanzania, uwe una rafiki yako yuko nje ya Tanzania, uwe unampenda vipi, awe amekusaidia vipi lakini huku Tanzania ndio wako ndugu zako, watoto wako,watanzania wenzako sasa lazima ujue kwamba ipo siku nitahitaji utulivu Tanzania na endapo amani itatoweka tukawa kama nchi za wenzetu,je wewe utakapokua umekaa peke yako moja ya majuto utakayojuta ni kama hukutoa mchango wa kurekebisha hali ikae vizuri na kumbuka katika kurekebisha vizuri sio kutia utambi ili watu waelewe unachosema." amesema Simbachawene.
Chanzo: Nipashe
Hii ni uongo bhanaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.

Mahusiano kati ya polisi na raia yakiboreshwa, bila shaka hata mahusiano yake na vyama vya siasa yataboreshwa. Wakiangalia zaidi vyama vya siasa basi hali itakuwa hivi hivi pindi chama kikingine kikitawala.
Amandla...
Ni sahihi kabisa, siasa na wanasiasa wanalivuruga jeshi la polisi na siku za hivi karibuni wameingia hadi Jwtz huko TISS ndo hapasemwiTatizo la polisi ni mfumo wa kisiasa unaowasimamia, utendaji wa polisi hauwezi kubadilika kama mfumo wa siasa na utawala wa nchi hautabadilika.
Wananchi na sisi tumezidi upole sana. Kama hii story ni ya kweli, mpaka sasa mwili wa ndugu yao hawakaupata, polisi waliyemkabidhi pesa wanamfahamu, aliyewapa namba ya simu wanamfahamu, wanasubiri nini kushughulika nao hata kimtaa mtaa tu?Baada ya kupata kiti na kuuwa watu ndiyo anataka kuleta janja janja danganya toto kwa huo ujinga wake, Wananchi hawamtaki kama hatoachia kiti basi wananchi watamshitakia kwa MUNGU ili wapewe Haki zao wanazotaka.
Watu wameshuhudia Ndugu zao wakikamatwa wakiwa wazima wakipandishwa kwenye Magari ya Polisi, kesho yake wanafika Polisi wanaambiwa waende Mochwari wanafika mochwari wanaouta Miili ya Ndugu zao lakini wanakatazwa wasichukue Miili hiyo hadi watoe Rushwa ya Milioni 1 - Milioni 5 ndiyo wapewe Miili ya Ndugu zao kama hawana hawapewi Miili ya Ndugu zao. Ndugu wanajichanga wanaotafuta Milioni 2- Milioni 3 ili watoe Rushwa kwa Polisi wapewe Miili ya Ndugu zao wanarudi tena mochwari wanaouta mwili wa Ndugu yao waliuona Jana lakini leo haunokani wanajulishwa Polisi hao hao wamechukua mwili wa mpendwa wao wameenda kuzika kibabe katika makaburi ya Halaiki huko Ununio. Wanarudi tena Oysterbay Polisi wanakutana na Polisi wapenda Rushwa wanakabidhi Milioni 2 kwa matumaini wapewe mwili wa Ndugu yao ili wakazike kwa kupewa ahadi watapigiwa simu kwenda kutambua mwili wa Ndugu yao, hiyo simu mpaka leo Ndugu wanasubiria na HAWAJAWAHI kupigiwa.
Ila huu ukatili ipo siku MUNGU atasikia maana MUNGU husimama na wanao onewa katika hii Dunia.
Asante