PostGE2025 Simbachawene: Rais Samia ameagiza mabadiliko Polisi ili kurejesha mahusiano mazuri na wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Safi kabisa...

Simbachawene big brain namkubali sana mwamba
 
Safi kabisa...

Simbachawene big brain namkubali sana mwamba
 
Huu ni mtazamo na mawazo ya Simbachawene na wala si mtazamo na matamanio ya Samia. Simbachawene anajaribu kumuingiza tu Samia ili asionekane ana mtazamo tofauti na Boss wake.

Tume ya haki jinai ilishatoa report yake tangu 2023. Samia alikuwa wapi kuitekeleza? Badala yake ndo jeshi na vyombo vingine vya usalama vikageuka kuwa watekaji na wauwaji.

Simbachawene ni mtu muungwana. Lakini asichojua ni kwamba yuko mikononi mwa watu wasio na uungwana. Atatumbuliwa kuhakikisha mawazo yake hayafanyiwi kazi
 

..Simbachawene sio muungwana, ni laghai.

..yeye ni mmoja wa Mawaziri waliohusika kupiga danadana 4R za Rais Samia halafu baadae wakaja kusema muda hautoshi kufanya reforms.
 
Ni kweli wanajaribu kutafuta njia za kuwalaghai wananchi lakini hawana dhamira ya kweli.
Jambo kubwa kama hili la transformation kama Samia angekuwa na nia ya dhati lingetoka kinywani mwake mwenyewe. Asinge agiza kimya kimya.

Huyu Simbachawene kajitungia tu na kumlisha Rais maneno
 
Tatizo siyo polisi bali wanaolitumia vibaya. Rais awajibike kwanza. Kinachofanyika ni kuwatwisha lawama polisi. Ni janja ya kujinasua na kuonekana anadai.
 
Ameagiza kwa sheria ipi itakayolinda hayo maagizo au yanaelea kama tume aliyoteua
 
Mwendo ni uleule yakipata AJALI nikuyaangalia TU mauaji hayo tuna kazi na nyinyi one day mta dondoka TU mtake msitake
 
Mabadiliko bado ni batili iwapo Wambura bado ni IGP
 
Na kmkm walio ua wabara nao mnawabadilisha, anyway usipqnic atakae ua kwa upanga ata dondoka kwa upanga, tuwe wavumilivu
 
Chuki haziwasaidii, Tanzania haijawahi kuongozwa na malaika. SSH tunae mpaka October 2030 iwapo Mungu atapenda.

Mnajazwa habari za kichochezi mpaka mnapoteza uwezo wa kufikiria kwa akili za kawaida kabisa.
 
Hatudanganyiki
 
Ushauri mwingi ulitolewa kuhusu kufanya mabadiliko kabla ya uchafuzi mkatia pamba masikioni. Sasa mmekaa madarakani bila ridhaa ya wananchi mnataka ushirikiano. Ushirikiano gani wakati hamko madarakani kwa ridhaa ya umma?
Mnakosea kujumuisha watu wote kwenye misimamo yenu..... Ridha ilitolewa kwa walotaka. Ungetoaje ridhaa na hukushiriki uchaguzi.??
 
Mabadiliko pekee ni yeye kuondoka. Hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa nchi hii.
Ulaghai wake sasa haufanyi kazi tena.
 
Mnakosea kujumuisha watu wote kwenye misimamo yenu..... Ridha ilitolewa kwa walotaka. Ungetoaje ridhaa na hukushiriki uchaguzi.??
Ina maana wewe hujui chochote kuhusu uchaguzi huo, au ni kuwa kama nguruwe tu unayefugwa na huyo Samia; kwamba unajifanya hujui chochote kinachohusiana na uchafuzi huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…