Simbachawene: Ripoti zinaonesha zaidi ya 40% ya Watumishi wa Umma Tanzania hawafanyi kazi

dah,
aise umenikumbusha jambo muhimu ambalo rafiki yangu ambae kwasasa ni muhadhiri hapo chuo kikuu kigamboni alikua hawezi kumaliza discussion bila kusema chochote kuhusu motivation theories za Maslow's hierarchy of needs & McGregor theory X & theory Y,

Infact,
mambo haya ni muhimu sana katika kuongeza ufanisi katika kazi, ila yanapuuzwa ikiwa ni pamoja na watu wasomi kabisa na wenye uelewa juu ya mambo haya,

wacha tumalize uchaguzi utaona ambao huwaamini wakichukua hatua dhidi ya wazembe na wavivu kazini 🐒
 
Au co?hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Duh
 
Sawa gentleman 😊 Ila tumeshindwa kwa miaka 60's leo hii ndani ya miaka mitano tutaweza kweli,

Nchi hii ni moja ya nchi ambazo unaweza kuja hauna mtaji wowote..wewe tu na kibegi chako Cha shangazi kaja na ukatajirika Sanaa.

Kuna maswali gentleman yananitatiza nisaidie uniweke sawa.

1. Hii mitungi ya gesi yenye picha ya mama Samia mwenyekiti CCM taifa na Raisi wa JAMHURI ya muungano wa Tanzania imenunuliwa kwa pesa BINAFSI ya mama Samia? Au ni pesa ya CCM ama ni pesa ya SERIKALI ya JAMHURI ya muungano wa Tanzania???

2. Hizi pikipiki yenye nembo ya SSH na picha ya mama Samia mwenyekiti CCM taifa na Raisi wa JAMHURI ya muungano wa Tanzania imenunuliwa kwa pesa BINAFSI ya mama Samia? Au ni pesa ya CCM ama ni pesa ya SERIKALI ya JAMHURI ya muungano wa Tanzania???

Maswali yangu ni hayo na ni kwa Nia njema kabisa.
 
CCM ni mzigo kwa taifa hili kwa miaka zaidi ya 40 wananchi wanaishi kwenye lindi la umasikini licha UTAJIRI wa rasilimali uliopo. Huduma za msingi kwa wananchi zimekuwa ndoto za alinacha, wanafaidika wajanja wachache.
 

Bongo kila mtu analalamika. Rais mwenyewe analalamika nae hajui afanye nini. CDF analalamika hajui wahamiaji haramu wanaingiaje nchini hadi kuajiriwa serikalini.
 
Mmh, watumishi wa umma wanasemwa as if ni manual Laborers wanaopangiwa miraba inayoonekana😆
 
Gentleman,
agenda ya Rais ya Nishati Safi ya kupikia majumbani, kwa lengo la kutunza mazingira inaungwa mkono kwa 100% na wadau na wafanyabiashara wa sekta ya nishati,

ndio maana mitungi ya gas inatoka makampuni mbalimbali tofauti ya gas. Gas ikiwaishia atakae pata faida na wateja maeneo yote nchini ni nani?

Kwa sababu hiyo,
nchi nzima watapata mitungi ya gas kwasabb Dr.Samia anataka watu watumie Nishati safi na kutunza mazingira na wafanyabiashara pia wanataka soko kubwa zaidi la biashara ya gas nchini.

Kuhusu pikipiki,
nadhani na v8, Land cruzers, mabasi lakini pia kuna bajaji zipo njiani ni uwekezaji wa CCM na si vinginevyo.

In conclusion,
picha ya Dr.Samia kwenye mitungi, pikipiki, vitenge, t-shirts na kofia ni mapenzi na Uzalendo ya watoa huduma hisika 🐒
 
Huu ni ushetani kabisa.
Wabunge wanajizolea mabilioni kila mwezi wanafanya kazi gani?
Mkurugenzi wa Halmashauri anatosha kufanya kazi anazofanya mbunge.
Sheria na sera zitungwe na maafisa wa wizara husika kwa kushirikiana na wizara ya sheria
 
Waziri anayehusika na utumishi Simbachawene asema asilimia 40 ya wafanyakazi wa serikali ni mizigo

swali kwa nini hawaachishwi kazi? Wapishe wengine?


Serikali kwa nini inaendelea kuwakumbatia?
Tatizo ni kubwa sana- Uwafukuze ili uingize wavivu kama hao wengine.

Tafsiri ya asilimia 40...mizigo, maana yake katika kila wafanyakazi 10, wa 4 hawafanyi kazi au popote walipo watanzania 10 wanaotafuta kazi kati ya hao 4 hawatofanya kazi. Tatizo kubwa ni kuwajua hao wa 4 ni akina nani?

Mama Samia anabadilisha mawaziri kila siku, na nyie ndie mnaolalamika kuwa kazi yake ni mikeka tu. Na bado wanaoingia nao ni mizigo. Wakati mwingine anaingiza leo, mara baada ya wiki tu huonekana aliyeingia ndie mbovu kabisa, analazimika kutumbua kesho yake.
Wakurugenzi wakifanya hivyo, nyinyi wenyewe mtatoka nje na kuzomea. Basi inabaki lete kama tulivyo au ajiri kama tulivyo.
 
Hivi uliwahi kupata ajali ukajigonga kichwa chako!!??
Uliwahi kupata matatizo ya afya ya akili!!??
Ulizaliwa kichwa chako kikiwa sawa 100%!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…