Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
dah,Hayati MAGUFURI aliweza kurudisha nidhamu KAZINI MPAKA akaitwa majina ya OVYO Dicteta, roho mbaya...Kuna kipindi mpaka Kuna walio chelewa kazini vitu vyao vilichukuliwa na kupelekwa halmashauli ikabidi wavifuate huko😊
Kwa CCM hii ya mama simuoni huyo mwenye ubavu wa kuwa shurutisha Hawa wazembe wafanye kazi maana hata "MC GREGORY KWENYE THEORY X NA THEORY Y alipata kusema Kuna watu ni wavivu na hawataki kufanya kazi na pia kuna watu ni wachapakazi Sana.
Tuwafundishe watu wetu kua na moyo wa kupenda kazi hata Kama mazingira,malipo hakuna ni ku feel proud kufanya kazi kwa bidii hio ndio iwe spirit yetu..
aise umenikumbusha jambo muhimu ambalo rafiki yangu ambae kwasasa ni muhadhiri hapo chuo kikuu kigamboni alikua hawezi kumaliza discussion bila kusema chochote kuhusu motivation theories za Maslow's hierarchy of needs & McGregor theory X & theory Y,
Infact,
mambo haya ni muhimu sana katika kuongeza ufanisi katika kazi, ila yanapuuzwa ikiwa ni pamoja na watu wasomi kabisa na wenye uelewa juu ya mambo haya,
wacha tumalize uchaguzi utaona ambao huwaamini wakichukua hatua dhidi ya wazembe na wavivu kazini 🐒