Simbs Sc: Mechi nambari 184 dhidi ya Yanga ipo pale pale

Makolo mfahau kitu kimoja,, J2 mkienda kwa Mkapa mtapigwa na Mabaunsa wa Yanga,, pia Geti la Mkapa hatofunguliwa ni mwendo wa kuzuiliwa kama siku ile
 
Kutegemea matokeo chanya kwenye jambo unalo lijua,

Hawa wanatikisa kiberiti ikisha pita tarehe 15 bila derby kuchezwa simba sc nao watasema hawachezi, kikikiki

Expecting results from what you know
 
Ubaya Ubwela nao msimamo wao uko pale pale hawataki mambo ya ajabu!😂
 
Niliandika hapa kuwa bodi ya ligi inabidi imalizane na hili sakata jumapili 15 June mambo mengine yaendelee,ki ukweli kutokucheza siku hiyo bodi itaingia ktk mtego wa kushindwa kuendesha ligi!

Hao yanga hata uwafanyie nini hawana shukrani,Karia alisema ktk UTAWALA wake YANGA ndiyo wamenufaika kumbe WALIKUWA wanachezesha wachezaji bila kufata taratibu na kusubiri kulipa wakiwa MABINGWA Kitu ambacho kinatia shaka ktk upangaji matokeo Ili yanga awe bingwa alipe deni!

Soon tutaona tabora united wakitoa andiko la kutoridhishwa kama yanga WALIKUWA wanasongeshewa na tabora akazuiliwa na kupelekea kucheza mechi na azam FC wakiwa 7
 
Mechi ya kwanza ya simba ilicheza na timu ambayo usajili wa wachezaji wake ulikuwa haujakamilika. Ikabidi wajilaze mambo yasiwe mengi mkashinda ushindi wa magoli mengi.

Uhuni upo kotekote na yanga wameamua kukataa uhuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…