Simbs Sc: Mechi nambari 184 dhidi ya Yanga ipo pale pale

Kuokota na kuchagua random(ni sawa na sagula sagula) ni vitu viwili tofauti
Ni kweli ila sijasema "kuchagua" nimesema "kuchagua random" au kwa lugha nyingine "kuchagua yoyote"
 
Kuokota na kuchagua random(ni sawa na sagula sagula) ni vitu viwili tofauti
Kama umeshindwa kuelewa au kukubaliana na mfanano wa maneno hayo, basi chukua hilo la sagula sagula ili tumalize huu mjadala.

Muhimu tu uelewe point yangu kuwa mwamuzi yoyote katika wale ambao wana vigezo anaweza kuchaguliwa na mambo yakaenda vizuri tu.
 
Msimamo wa yanga ni HATUCHEZI sasa wewe lilia tu waamuzi mkuu si Bodi na Tff mali yenu

Mbona sasa mnahangaika na habari za Arajiga na waamuzi?

Sijui hapo anayelia nani wakati hakuna mwanasimba anayewaza habari ya mwamuzi gani atachaguliwa ndiyo maana nimesema hata sagula sagula fuleshi tu.
 
Wewe nilishakuelimisha kuhusu hili suala. Ukiona waamuzi wa mchezo wamefika uwanjani na taratibu zote za mchezo zimefuatwa, ujue imeisha hiyo. Hautaona Simba wakihangaika popote.

Kabla ya mechi za mwisho, ripoti itatoka ya Bodi kuhusu mechi hiyo, ikiipa Simba goli 3 na pwenti 3. Simba itatangazwa bingwa. Mechi ya mwisho Simba itakabidhiwa kombe lake.

Huu msala mtalala nao na kuamka nao nyie wenyewe.
tofaui na hivyo ulivyosema yaani mechi ikihairishwa simba watafanyaje unadhani
 
Kwa mujibu wa Msemaji wa Bodi maandalizi ya kuelekea mchezo huo yanaendelea na barua ya uwanja tumeiona. Kuna kipindi mlikuwa mnahoji habari za uwanja sijui mazoezi ya mwisho, nadhani hilo limeshawekwa kando.

Kwa taarifa hizi, sioni haja ya mwanasimba yoyote kwa sasa kuanza kuwaza itakuwaje mechi ikiahirishwa.
 
Kwa mujibu wa Msemaji wa Bodi maandalizi ya kuelekea mchezo huo yanaendelea na barua ya uwanja tumeiona. Sioni haja ya mwanasimba yoyote kwa sasa kuanza kuwaza itakuwaje mechi ikiahirishwa.
tarehe 8 mechi ilihairishwa masaa 4 kabla ya mechi,wakati huo hiyo bodi unayoiamini ilisema mechi ipo 1 before ya kuhairisha mechi kaa kwa kutulia kama wenzio MAKOLO wangekuwa wanaiamini bodi wasingetoa lile bandiko la jana
 
Mkuu hebu rudi huko juu uangalie kama ile comment niliyoitoa nimequote mtu,ungekua mleta mada hapo ungekua na uhalali wa kulalama kuhangaika na refa ila wala uzi haujaanzisha umekurupuka kuniquote kisha unaanza kutoa mapovu. Rage rage rageeee aiseeeeeee sanamu lake lijengwe msimbazi
Mbona sasa mnahangaika na habari za Arajiga na waamuzi?

Sijui hapo anayelia nani wakati hakuna mwanasimba anayewaza habari ya mwamuzi gani atachaguliwa ndiyo maana nimesema hata sagula sagula fuleshi tu.
 
Rage anasema hiyo barua ni kama barua ya kwenda kwa mpenzi hahahaha
 
Mkuu hebu rudi huko juu uangalie kama ile comment niliyoitoa nimequote mtu,ungekua mleta mada hapo ungekua na uhalali wa kulalama kuhangaika na refa ila wala uzi haujaanzisha umekurupuka kuniquote kisha unaanza kutoa mapovu. Rage rage rageeee aiseeeeeee sanamu lake lijengwe msimbazi
Usinchoshe. Tusichoshane.
 
tarehe 8 mechi ilihairishwa masaa 4 kabla ya mechi,wakati huo hiyo bodi unayoiamini ilisema mechi ipo 1 before ya kuhairisha mechi kaa kwa kutulia kama wenzio MAKOLO wangekuwa wanaiamini bodi wasingetoa lile bandiko la jana
Kwani barua ya jana si inawaambia mashabiki wa Simba wajitokeze kwa wingi uwanjani?
 
M
Kwa mujibu wa Msemaji wa Bodi maandalizi ya kuelekea mchezo huo yanaendelea na barua ya uwanja tumeiona. Kuna kipindi mlikuwa mnahoji habari za uwanja sijui mazoezi ya mwisho, nadhani hilo limeshawekwa kando.

Kwa taarifa hizi, sioni haja ya mwanasimba yoyote kwa sasa kuanza kuwaza itakuwaje mechi ikiahirishwa.
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu.
 
Ni kweli Yanga waliambiwa wasiyotaka kuyasikia katika kile kikao ndiyo maana baada ya kutoka tu kwenye kikao wakalianzisha. Bodi haina kibarua kigumu wala jinsi nyingine yoyote bali kuhakikisha wanafuata ratiba waliyojipangia kumaliza ligi. Hiyo ndiyo salama yao pekee kwa sasa.

Yanga kama wana madai ya msingi kuhusu derby, madeni, zawadi, nk. basi wafuate taratibu. Wakienda ngazi kwa ngazi katika kudai haki zao, ikiwemo kufika huko CAS, mbona watazipata tu kama wanastahili?
Natumai umeelewa sasa shida waliyonayo Bodi na TFF.
 
Kwa mujibu wa Msemaji wa Bodi maandalizi ya kuelekea mchezo huo yanaendelea na barua ya uwanja tumeiona. Kuna kipindi mlikuwa mnahoji habari za uwanja sijui mazoezi ya mwisho, nadhani hilo limeshawekwa kando.

Kwa taarifa hizi, sioni haja ya mwanasimba yoyote kwa sasa kuanza kuwaza itakuwaje mechi ikiahirishwa.
haya sasa dabi ishapanguliwa umeamini maneno yangu!!!
hii sasa itachezwa hakuna atakayepinga,sasa tuone lile tangazo la simba jana watafanyia kazi maneno yao kama yanga alivyofanya?TAABURAIZAKI
 
Natumai umeelewa sasa shida waliyonayo Bodi na TFF.

haya sasa dabi ishapanguliwa umeamini maneno yangu!!!
hii sasa itachezwa hakuna atakayepinga,sasa tuone lile tangazo la simba jana watafanyia kazi maneno yao kama yanga alivyofanya?TAABURAIZAKI
Kwa hiyo uharakati wa Yanga ulikuwa zuga maana sijasikia madeni yamesuluhishwa, zawadi za CRDB zimelipwa, viongozi kujiuzulu wala majibu ya March 8
 
Back
Top Bottom