Simbs Sc: Mechi nambari 184 dhidi ya Yanga ipo pale pale

Simbs Sc: Mechi nambari 184 dhidi ya Yanga ipo pale pale

Niliandika hapa kuwa bodi ya ligi inabidi imalizane na hili sakata jumapili 15 June mambo mengine yaendelee,ki ukweli kutokucheza siku hiyo bodi itaingia ktk mtego wa kushindwa kuendesha ligi!

Hao yanga hata uwafanyie nini hawana shukrani,Karia alisema ktk UTAWALA wake YANGA ndiyo wamenufaika kumbe WALIKUWA wanachezesha wachezaji bila kufata taratibu na kusubiri kulipa wakiwa MABINGWA Kitu ambacho kinatia shaka ktk upangaji matokeo Ili yanga awe bingwa alipe deni!

Soon tutaona tabora united wakitoa andiko la kutoridhishwa kama yanga WALIKUWA wanasongeshewa na tabora akazuiliwa na kupelekea kucheza mechi na azam FC wakiwa 7
Kuna mambo usipofuatilia na kureason utaandika kisichofaa. Hakuna kiongozi mpumbavu atakayesema tutalipa kwa ubingwa ambao haujachukuliwa halafu kiongozi mpumbavu wa TFF naye akubaliane nalo hilo. Vipi hiyo timu isipochukua ubingwa hao hawatakuwa wehu endapo walikubali hilo jambo?

Madai ya Yanga kuwa madai yakatwe kwenye pesa za ubingwa ilikuwa baada ya kuupata huo ubingwa wa TFF na msimu ukiwa umeisha hawakupata pesa ya zawadi. Unaanza msimu mwingine na dirisha lingine la usajili bado hawajalipwa. Ligi inaanza tayari wamesajili wachezaji. TTF wanapodai pesa ya vibali ndipo Yanga wanawakumbusha kuwa madai yenu mtakata kwenye pesa ya zawadi ya ubingwa wa TFF waliopata msimu uliopita. Hapa Yanga walibebwa vipi na TFF? Unaamini TFF wangekubali maombi Yanga kwa ubingwa ambao haupo?

Kama ni kweli viongozi wa TFF na kamati zake tendaji walikubali kufanya kama unavyosema basi ni vichaa hawafai kuwepo madarakani.
 
Nani ataiandaa; na itachezewa uwanja gani. Mwenyeji ni Yanga na wala hajatangza uwanja anaotaka utumike kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi hiyo baada ya kuahirishwa kinyemelea tarahe 8 Machi.
 
Ni tamko lenye nia ya kuchochea hasira za Yanga wakijua Yanga ipo kwenye wakati mgumu wa kula matapishi yao wenyewe au kupokwa pwenti 15 na Simba kupewa ushindi wa goli 3 na pwenti 3.

Unadhani ni rahisi kuahirisha mechi hii? Duru la mechi mbili za mwisho katika ligi nzima inabidi zichezwe kwa pamoja. Unadhani ligi nzima inaweza kuahirishwa kwa sababu ya visirani vya wapumbavu wachache?
Inaelekea wewe hamnazo kichwani,narudia kukwambia tena kuwa tarehe 15 June hakuna match na TFF watatangaza rasmi kuwa hiyo match haipo.
 
Ni tamko lenye nia ya kuchochea hasira za Yanga wakijua Yanga ipo kwenye wakati mgumu wa kula matapishi yao wenyewe au kupokwa pwenti 15 na Simba kupewa ushindi wa goli 3 na pwenti 3.

Unadhani ni rahisi kuahirisha mechi hii? Duru la mechi mbili za mwisho katika ligi nzima inabidi zichezwe kwa pamoja. Unadhani ligi nzima inaweza kuahirishwa kwa sababu ya visirani vya wapumbavu wachache?
Kama bodi wangefuata kanuni kwenye kusogeza mbele mechi ya mwanzo, wangekuwa na jeuri hii unayoisema. Hapo anayewekwa kitimoto ni BODI na TFF yake, sio Yanga. Na niwazi kikao cha juzi cha Yanga na Bodi kitakuwa kimechochea msimamo wa Yanga kutokucheza.

Sisi mashabiki hupenda kuambiwa tunayofurahia, lakini ni wazi BODI ina kibarua kigumu sana.
 
Ni kweli Yanga waliambiwa wasiyotaka kuyasikia katika kile kikao ndiyo maana baada ya kutoka tu kwenye kikao wakalianzisha. Bodi haina kibarua kigumu wala jinsi nyingine yoyote bali kuhakikisha wanafuata ratiba waliyojipangia kumaliza ligi. Hiyo ndiyo salama yao pekee kwa sasa.

Yanga kama wana madai ya msingi kuhusu derby, madeni, zawadi, nk. basi wafuate taratibu. Wakienda ngazi kwa ngazi katika kudai haki zao, ikiwemo kufika huko CAS, mbona watazipata tu kama wanastahili?
 
Issue ya madai ya pesa za ligi kuu haihusiani na mechi za ligi kuu. Ligi kuu ni hakuna mechi tarehe 15 kwa sababu zilizowekwa. Fainali za TFF ndio zina issue ya pesa.
 
Mkuu mambo yameshageuka tayari - Nchi ina vituko hii wallah.

d154f227f0f74dff996a8b055e878289.jpg
 
Mwamuzi wao atakayefika atakua tatu maana arajiga hachezi
Kwani mpaka Arajiga awepo? Anaweza kuokotwa refa yoyote anayetimiza vigezo vya kuchezesha mchezo huo. Kwanza kazi yake itakuwa ndogo sana siku hiyo, pesa ya bure kabisa.

Nasikia mna mpango wa kuwateka waamuzi watakaotangazwa.
 
Haa kumbe marefa mnaokota

Back
Top Bottom