Simbs Sc: Mechi nambari 184 dhidi ya Yanga ipo pale pale

klabu ya simba imesisitiza kuwa siku ya jumapili ya tarehe ya 15 mwezi june watapeleka timu uwanjani.
View attachment 3365978
Makolo akili zao wanazijua wenyewe,,unasema mabadiliko ya kughairisha mechi ni kinyume na utaratibu wakati wao kipindi wanakimbia trh 8 mwendo wa ngiri mkia juu awakujua kama ilikuwa ni kinyume na utaratibu?
Ni nani aliyetangaza kwamba uwanja ni benjamini mkapa? Je viingilio ni nani aliyevitangaza? Mashabiki wanaowahimiza waende uwanjani ivyo viingilio wanavilipa kwa nani na kwa utaratibu Gani na ni shingapi? Kwa maana iyo Simba wamejivika uenyeji wa mchezo?
Wamezoea kuwaibia mashabiki pesa zao na sasa wanataka wawaibie Tena kwa mtindo ule ule wakati wanajua akuna mechi pale zaidi ya kufanya comedian!
 
Kama ni tamthilia basi hii ni Isidingo, In short huu mjadala unachosha, enough is enough
 
nipo hapa nawacheki tu makolo,kuimba kupokezana...wiki ijayo yanga watapunzika ni zamu ya kolo kuhangaika na TFF
Wewe nilishakuelimisha kuhusu hili suala. Ukiona waamuzi wa mchezo wamefika uwanjani na taratibu zote za mchezo zimefuatwa, ujue imeisha hiyo. Hautaona Simba wakihangaika popote.

Kabla ya mechi za mwisho, ripoti itatoka ya Bodi kuhusu mechi hiyo, ikiipa Simba goli 3 na pwenti 3. Simba itatangazwa bingwa. Mechi ya mwisho Simba itakabidhiwa kombe lake.

Huu msala mtalala nao na kuamka nao nyie wenyewe.
 
Una ndoto za watoto wa balehe
 
Hilo tamko kama ni la Simba, basi tambua kuwa wamenusa harufu ya Bodi kuja na tamko kabla ya tar 15 la kusogeza mechi mbele.
 
Ni tamko lenye nia ya kuchochea hasira za Yanga wakijua Yanga ipo kwenye wakati mgumu wa kula matapishi yao wenyewe au kupokwa pwenti 15 na Simba kupewa ushindi wa goli 3 na pwenti 3.

Unadhani ni rahisi kuahirisha mechi hii? Duru la mechi mbili za mwisho katika ligi nzima inabidi zichezwe kwa pamoja. Unadhani ligi nzima inaweza kuahirishwa kwa sababu ya visirani vya wapumbavu wachache?
 
Back
Top Bottom