Simbs Sc: Mechi nambari 184 dhidi ya Yanga ipo pale pale

Kwa hiyo uharakati wa Yanga ulikuwa zuga maana sijasikia madeni yamesuluhishwa, zawadi za CRDB zimelipwa, viongozi kujiuzulu wala majibu ya March 8
mbon unabadilisha mada tena,hilo swala madeni na watu kujiuzulu tuachieni sisi,swala la terehe 15 kucheza tunawaachieni nyinyi,si mmepewa uwanja mkafanye mazoezi ya mwisho kesho eeeh?
 
Kwenye hili mada zipo nyingi na mlizileta wenyewe. Kusema "tuachieni sisi" ni kujifunika kwa aibu maana ni dhahiri mmeonyesha unafki wenu. Juzi mkaanzisha lingine, mkalalamika kiongozi wa serikali kuingilia derby, leo mmejaa furaha tele kwa maamuzi yaliyoshinikizwa na kiongozi wa serikali.
 
ni hivi tunatarajia mkafanye mazoezi ya mwisho kesho tuone na nyinyi manayaweza mambo yetu au mlijaribu tu
 
Hayo mengine sasa, nilikuambia kwamba Simba wameshtukia hayo mabadiliko mengine, wewe ukadai Simba inawachombeza Yanga kwani Bodi haitabadili tarehe.
Hoja yako sasa yaweza kuwa mpya, tunaweza kujiuliza sasa Yanga wamehongwa au kutishiwa nini na nani kukubali kucheza 25?
Msimamo wa Simba nao ni UPI tena?
 
Ukiwa shabiki wa simba na Yanga, ccm na chadema lazima uwe na matatizo ya akili.
 
Kwenye hili mada zipo nyingi na mlizileta wenyewe. Kusema "tuachieni sisi" ni kujifunika kwa aibu maana ni dhahiri mmeonyesha unafki wenu. Juzi mkaanzisha lingine, mkalalamika kiongozi wa serikali kuingilia derby, leo mmejaa furaha tele kwa maamuzi yaliyoshinikizwa na kiongozi wa serikali.
504515979_18046398959623005_5008500325871291394_n.jpg

natumai misimamo itasimamiwa nyie wat wa maana sana nyie
 
ni hivi tunatarajia mkafanye mazoezi ya mwisho kesho tuone na nyinyi manayaweza mambo yetu au mlijaribu tu
Ni wazi hatuyawezi mambo yenu. Maana kutoka kudai hauchezi tena derby msimu huu, kuja kusema viongozi wa Bodi na TFF wajiuzulu, kuja kusema ulipwe pesa za ubingwa wa FA za miaka 3, hadi kuja kusema unacheza derby ni wazi hayo mambo Simba hawayawezi.
 
Hayo mengine sasa, nilikuambia kwamba Simba wameshtukia hayo mabadiliko mengine, wewe ukadai Simba inawachombeza Yanga kwani Bodi haitabadili tarehe.
Hoja yako sasa yaweza kuwa mpya, tunaweza kujiuliza sasa Yanga wamehongwa au kutishiwa nini na nani kukubali kucheza 25?
Msimamo wa Simba nao ni UPI tena?
Katika post moja nilisema wazi nilijibu kwa muktadha wa mashabiki walioambiwa kwamba wajiandae kwenda uwanjani.

Nikasema katika post nyingine, iwapo taratibu za mchezo zitafuatwa ikiwemo premarch meeting na shughuli za siku ya mchezo kufanyika, hakuna jingine ambalo Simba watahitaji kuhangaika nalo ili kudai pwenti zao.
 
Kwa mujibu wa Msemaji wa Bodi maandalizi ya kuelekea mchezo huo yanaendelea na barua ya uwanja tumeiona. Kuna kipindi mlikuwa mnahoji habari za uwanja sijui mazoezi ya mwisho, nadhani hilo limeshawekwa kando.

Kwa taarifa hizi, sioni haja ya mwanasimba yoyote kwa sasa kuanza kuwaza itakuwaje mechi ikiahirishwa.
Kila siku nilikuwa nakwambia wewe bado mtoto mdogo kwenye hizi mambo,tuachie wakongwe.
 
mbon unabadilisha mada tena,hilo swala madeni na watu kujiuzulu tuachieni sisi,swala la terehe 15 kucheza tunawaachieni nyinyi,si mmepewa uwanja mkafanye mazoezi ya mwisho kesho eeeh?
Wakikuji makolo nijulishe.
 
Kila siku nilikuwa nakwambia wewe bado mtoto mdogo kwenye hizi mambo,tuachie wakongwe.
Nimekuacha mbali sana kwenye ufahamu wa hizi mambo. Kuna vitu nilisema kabla hata ya March 8 na vingine nikavisema baada tu ya siku ile mechi kuahirishwa.

Soma hiki nilichokiandika wiki iliyopita.
Ukiona wamesema hawachezi na kweli wasipocheza ujue hilo jambo lina baraka za ngazi za juu za chama na limefanywa kwa makusudi maalumu.

Nasemaga siku zote, Simba ni mtoto wa kambo wa CCM. Maslahi ya Simba yanaweza yasizingatiwe katika hili na usisikie lolote kutoka kwa uongozi wa klabu maana hata hao viongozi kimsingi wanajionaga wana wajibu mbele ya chama pamoja na kwamba huwa siyo waziwazi kama ilivyo kwa Yanga.

Yanga wanaweza kuikaidi CCM na serikali ila ndiyo toto pendwa la chama.

Kwa sababu ya uchaguzi, ambacho inawezekana kinatengenezwa ni kuwafurahisha wote kwa kutengeneza hizi drama ili wagawane makombe.
 
Haya ni maandalizi ya kugomea ratiba nyingine itakayopangwa kuhusu mechi number 184. Baada ya tarehe 15 itakuwa zamu ya Simba kuanza kupeleka madai TFF. Episode bado nyingi sana
Hiyo ni program mahsusi kutoka Kizimkazi kuwatoa watu kwenye reli.
No Reforms No Elections.
 
Aisee,SSC Huwa nawaelewa sana. It's too professional.

Wakisimamia kitu ujue upande wa pili ndiyo wenye makosa ila sio wao.

Hii ikipigwa calender tutegee kishindo ktk soka la Tanzania
Mwenyekiti Mangungu, unamuona huyu kijana wako huku!! Sasa sijui mkileta timu hiyo tarehe 25 Juni, atakuwa kwenye hali gani.
 
Back
Top Bottom