BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,608
- 3,562
No reform no election ipo palepale toeni ujinga wenuklabu ya simba imesisitiza kuwa siku ya jumapili ya tarehe ya 15 mwezi june watapeleka timu uwanjani.
View attachment 3365978
Wangekuwa professional wasingekimbia tarehe 8Aisee,SSC Huwa nawaelewa sana. It's too professional.
tiketi mnauza wapi nije kununua?klabu ya simba imesisitiza kuwa siku ya jumapili ya tarehe ya 15 mwezi june watapeleka timu uwanjani.
View attachment 3365978
nipo hapa nawacheki tu makolo,kuimba kupokezana...wiki ijayo yanga watapunzika ni zamu ya kolo kuhangaika na TFFBaada ya tarehe 15 tutashuhudia simba wakiserebuka wimbo unao enda kwa jina la hatuchezi. Hii ni baada ya bodi kuahirisha mechi hiyo
Vipi, na safari hii mkizuiliwa tena kufanya mazoezi ya mwisho hamtakimbia?klabu ya simba imesisitiza kuwa siku ya jumapili ya tarehe ya 15 mwezi june watapeleka timu uwanjani.
View attachment 3365978
Makolo akili zao wanazijua wenyewe,,unasema mabadiliko ya kughairisha mechi ni kinyume na utaratibu wakati wao kipindi wanakimbia trh 8 mwendo wa ngiri mkia juu awakujua kama ilikuwa ni kinyume na utaratibu?klabu ya simba imesisitiza kuwa siku ya jumapili ya tarehe ya 15 mwezi june watapeleka timu uwanjani.
View attachment 3365978
umechelewa sana boss. mambo ya kiswahili hukeraBinafsi nimetoka kwenye mpira wenu unabaishaji mwingi sana.
Utoto mwingi mno.
Ujinga na upumbavu ndio kabisa yani.
Wewe nilishakuelimisha kuhusu hili suala. Ukiona waamuzi wa mchezo wamefika uwanjani na taratibu zote za mchezo zimefuatwa, ujue imeisha hiyo. Hautaona Simba wakihangaika popote.nipo hapa nawacheki tu makolo,kuimba kupokezana...wiki ijayo yanga watapunzika ni zamu ya kolo kuhangaika na TFF
Una ndoto za watoto wa baleheWewe nilishakuelimisha kuhusu hili suala. Ukiona waamuzi wa mchezo wamefika uwanjani na taratibu zote za mchezo zimefuatwa, ujue imeisha hiyo. Hautaona Simba wakihangaika popote.
Kabla ya mechi za mwisho, ripoti itatoka ya Bodi kuhusu mechi hiyo, ikiipa Simba goli 3 na pwenti 3. Simba itatangazwa bingwa. Mechi ya mwisho Simba itakabidhiwa kombe lake.
Huu msala mtalala nao na kuamka nao nyie wenyewe.
Unajua makolo ni MAMBUMBUMBU SANA, yanapeleka team uwanja up??yanga hajatangaza uwanja!yenyewe yanaenda uwanja upi?klabu ya simba imesisitiza kuwa siku ya jumapili ya tarehe ya 15 mwezi june watapeleka timu uwanjani.
View attachment 3365978
Hilo tamko kama ni la Simba, basi tambua kuwa wamenusa harufu ya Bodi kuja na tamko kabla ya tar 15 la kusogeza mechi mbele.Wewe nilishakuelimisha kuhusu hili suala. Ukiona waamuzi wa mchezo wamefika uwanjani na taratibu zote za mchezo zimefuatwa, ujue imeisha hiyo. Hautaona Simba wakihangaika popote.
Kabla ya mechi za mwisho, ripoti itatoka ya Bodi kuhusu mechi hiyo, ikiipa Simba goli 3 na pwenti 3. Simba itatangazwa bingwa. Mechi ya mwisho Simba itakabidhiwa kombe lake.
Huu msala mtalala nao na kuamka nao nyie wenyewe.
Ni tamko lenye nia ya kuchochea hasira za Yanga wakijua Yanga ipo kwenye wakati mgumu wa kula matapishi yao wenyewe au kupokwa pwenti 15 na Simba kupewa ushindi wa goli 3 na pwenti 3.Hilo tamko kama ni la Simba, basi tambua kuwa wamenusa harufu ya Bodi kuja na tamko kabla ya tar 15 la kusogeza mechi mbele.