Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,160
- 7,702
Kila ikija habari ya kuzihusu hizi timu, wewe unakuja na maandiko yako haya haya! Unalazimishwa? Kama umechoshwa, we pita kimya kimya!Binafsi nimetoka kwenye mpira wenu unabaishaji mwingi sana.
Utoto mwingi mno.
Ujinga na upumbavu ndio kabisa yani.
Kuna mambo usipofuatilia na kureason utaandika kisichofaa. Hakuna kiongozi mpumbavu atakayesema tutalipa kwa ubingwa ambao haujachukuliwa halafu kiongozi mpumbavu wa TFF naye akubaliane nalo hilo. Vipi hiyo timu isipochukua ubingwa hao hawatakuwa wehu endapo walikubali hilo jambo?Niliandika hapa kuwa bodi ya ligi inabidi imalizane na hili sakata jumapili 15 June mambo mengine yaendelee,ki ukweli kutokucheza siku hiyo bodi itaingia ktk mtego wa kushindwa kuendesha ligi!
Hao yanga hata uwafanyie nini hawana shukrani,Karia alisema ktk UTAWALA wake YANGA ndiyo wamenufaika kumbe WALIKUWA wanachezesha wachezaji bila kufata taratibu na kusubiri kulipa wakiwa MABINGWA Kitu ambacho kinatia shaka ktk upangaji matokeo Ili yanga awe bingwa alipe deni!
Soon tutaona tabora united wakitoa andiko la kutoridhishwa kama yanga WALIKUWA wanasongeshewa na tabora akazuiliwa na kupelekea kucheza mechi na azam FC wakiwa 7
Kwa MkapaLakini ilichezwa,siyo?
Inaelekea wewe hamnazo kichwani,narudia kukwambia tena kuwa tarehe 15 June hakuna match na TFF watatangaza rasmi kuwa hiyo match haipo.Ni tamko lenye nia ya kuchochea hasira za Yanga wakijua Yanga ipo kwenye wakati mgumu wa kula matapishi yao wenyewe au kupokwa pwenti 15 na Simba kupewa ushindi wa goli 3 na pwenti 3.
Unadhani ni rahisi kuahirisha mechi hii? Duru la mechi mbili za mwisho katika ligi nzima inabidi zichezwe kwa pamoja. Unadhani ligi nzima inaweza kuahirishwa kwa sababu ya visirani vya wapumbavu wachache?
Kama bodi wangefuata kanuni kwenye kusogeza mbele mechi ya mwanzo, wangekuwa na jeuri hii unayoisema. Hapo anayewekwa kitimoto ni BODI na TFF yake, sio Yanga. Na niwazi kikao cha juzi cha Yanga na Bodi kitakuwa kimechochea msimamo wa Yanga kutokucheza.Ni tamko lenye nia ya kuchochea hasira za Yanga wakijua Yanga ipo kwenye wakati mgumu wa kula matapishi yao wenyewe au kupokwa pwenti 15 na Simba kupewa ushindi wa goli 3 na pwenti 3.
Unadhani ni rahisi kuahirisha mechi hii? Duru la mechi mbili za mwisho katika ligi nzima inabidi zichezwe kwa pamoja. Unadhani ligi nzima inaweza kuahirishwa kwa sababu ya visirani vya wapumbavu wachache?
Ni kweli Yanga waliambiwa wasiyotaka kuyasikia katika kile kikao ndiyo maana baada ya kutoka tu kwenye kikao wakalianzisha. Bodi haina kibarua kigumu wala jinsi nyingine yoyote bali kuhakikisha wanafuata ratiba waliyojipangia kumaliza ligi. Hiyo ndiyo salama yao pekee kwa sasa.Kama bodi wangefuata kanuni kwenye kusogeza mbele mechi ya mwanzo, wangekuwa na jeuri hii unayoisema. Hapo anayewekwa kitimoto ni BODI na TFF yake, sio Yanga. Na niwazi kikao cha juzi cha Yanga na Bodi kitakuwa kimechochea msimamo wa Yanga kutokucheza.
Sisi mashabiki hupenda kuambiwa tunayofurahia, lakini ni wazi BODI ina kibarua kigumu sana.
Issue ya madai ya pesa za ligi kuu haihusiani na mechi za ligi kuu. Ligi kuu ni hakuna mechi tarehe 15 kwa sababu zilizowekwa. Fainali za TFF ndio zina issue ya pesa.Ni kweli Yanga waliambiwa wasiyotaka kuyasikia katika kile kikao ndiyo maana baada ya kutoka tu kwenye kikao wakalianzisha. Bodi haina kibarua kigumu wala jinsi nyingine yoyote bali kuhakikisha wanafuata ratiba waliyojipangia kumaliza ligi. Hiyo ndiyo salama yao pekee kwa sasa.
Yanga kama wana madai ya msingi kuhusu derby, madeni, zawadi, nk. basi wafuate taratibu. Wakienda ngazi kwa ngazi katika kudai haki zao, ikiwemo kufika huko CAS, mbona watazipata tu kama wanastahili?
Nimeorodhesha madai sijasema kipi kinahusiana na kipiIssue ya madai ya pesa za ligi kuu haihusiani na mechi za ligi kuu. Ligi kuu ni hakuna mechi tarehe 15 kwa sababu zilizowekwa. Fainali za TFF ndio zina issue ya pesa.
Tusubiri. Ila mechi tarehe 15 hakunaNimeorodhesha madai sijasema kipi kinahusiana na kipi
Sidhani kama hii ni kweli mkuu.
Kabisa mkuu kiukweli mwelekeo wa maendeleo ya mpira Tanzania ni kizungumkuti 😇😇😇Binafsi nimetoka kwenye mpira wenu unabaishaji mwingi sana.
Utoto mwingi mno.
Ujinga na upumbavu ndio kabisa yani.
Nchi yetu kivyetuvyetu Bongo Kuna watu wa Ajabu wataenda kuujaza uwanja🥲🥲🥲Basi kuna wapumbavu watakata tiketi...
Kwani mpaka Arajiga awepo? Anaweza kuokotwa refa yoyote anayetimiza vigezo vya kuchezesha mchezo huo. Kwanza kazi yake itakuwa ndogo sana siku hiyo, pesa ya bure kabisa.Mwamuzi wao atakayefika atakua tatu maana arajiga hachezi
Kwani mpaka Arajiga awepo? Anaweza kuokotwa refa yoyote anayetimiza vigezo vya kuchezesha mchezo huo. Kwanza kazi yake itakuwa ndogo sana siku hiyo, pesa ya bure kabisa.
Nasikia mna mpango wa kuwateka waamuzi watakaotangazwa.
Kuokota kwa maana ya kuchagua random. Kuna machaguzi mengi zaidi ya huyo Arajiga mliyemzushia kuwa amekataa.Haa kumbe marefa mnaokota
Wewe bwegeHawa ndio waliendelea kuwaamisha fainali yao ya Shirikisho inapigwa kwa Mkapa na sio Amani.
Mbumbumbu ni mbumbumbu siku zote.