SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

Umerogwa kizembe sana
 
Wakuu

Uchuro KWA mama wa nini!?

Aliewaambia 2025 kuna uchaguzi na aliepo atafika ni Nani!!?mmempigia sim Mungu!!?

Na kauli hii Ndio imemletea utenguzi wa ukuu wake wa mkoa!!

"Rasimu ya warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya"!
 
Hiyo heading ni mtazamo tu wa Mwandishi, Kafulila Hajaongea mambo ya Uchaguzi 2025,
 
Bei mbona za vitu vyote vimepanda duniani kote πŸ€·β€β™‚οΈ
 
Petrol je?
 
Kwa siasa za Tanzania na CCM yetu ,Kafulila haepukiki
 
Ila huyu Kafulila ni hazina kwa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…