CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Hao ni Upinzani, Wanatapatapa,Kumbe Soko lilimsubiri Samia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni Upinzani, Wanatapatapa,Kumbe Soko lilimsubiri Samia?
Huyu bwana yuko vizuri sanaBEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka TZS 1,800/kg kwa kilo wakati huu wa Mama Samia Suluhu Hassan,
Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money" wao wanasema "NO CASH NO COTTON"
Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo.
kwawale msiofahamu,Turufu pekee ya kisiasa Kanda ya Ziwa ni "Bei ya Pamba" tu,Yaani Ukimaliza na Pamba umeshinda Uchaguzi,
Huko nyuma, CCM imekuwa ikihenyeshwa karibu katika kila Uchaguzi huku kosa la CCM likiwa ni kushindwa kudhibiti "Bei Ya Pamba " tu,
RC Kafulila anasema ,tangu Uhuru bei ya Pamba haijawahi kufikia TZS 1,800/kg ila tu ni kwa awamu hii ya Mhe Samia Suluhu,
Leo Mama Samia ameamua kupunguza faida kwa Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba,
Lengo likiwa ni kumtetea huyu Mlalahoi kwa Vitendo kwa kumwongezea TZS 700/kg ya Pamba atakayouza,
Pesa hii maranyingi ilikuwa ikiende kwa Mnunuzi kama faida ya maramia,
Leo hii Mama Samia ameirudisha kwa Mkulima na hii ndio maana halisi ya "Mama"
Msikilize huyu Mwamba Mpaka mwisho,
View attachment 2253903
Utaelewa nini wewe BashiteKumbe Soko lilimsubiri Samia?
😁😁😁Muulize maza ako
Tulia
Kwani inflation ndio inapandisha bei ya Pamba?Kabla hujachangia huu Uzi lazima utathmini thamani halisi ya sh 1830 kwa leo.
Hii pesa na mfumuko huu wa bei ni worthless.
Hupati kg ya ngano, hupati Lita ya petrol, diesel Wala korie, hupati kg ya sukari, kupati kg ya mchele n.k, n.k
Soko la dunia mengine waambiwe wanakijiji huko. Halafu simiyu sio wa kutegemea kwa mtindo huo, wao wanao msemo waTuache unafiki wakuu, suala la kupanda kwa bei ya pamba ni juhudi za serikali au ni mabadiliko ya soko la dunia? kama ni juhudi za serikalibasi hata suala la kupanda kwa bei ya bidhaa tunapaswa kuilaumu serikali.Tuache unafiki.
Serikali imeonda viushuru vya kijinga zao moja tozo kibaooo.Hata soko la dunia bei imepnda hv vikodi ndio shida piaJinga kweli miaka ya nyuma kahawa ilikuwa bei juu, mbaazi na ngwara Samia alikuwepo?
Mazao mengine mbona bei chini? mfano dengu, mbaazi n.kSerikali imeonda viushuru vya kijinga zao moja tozo kibaooo.Hata soko la dunia bei imepnda hv vikodi ndio shida pia
Huu msemo haupo usukumani, wasukuma sio, watapeliSoko la dunia mengine waambiwe wanakijiji huko. Halafu simiyu sio wa kutegemea kwa mtindo huo, wao wanao msemo wa
" Kula kwa...... kulala kwa ...."
Watakushangilia na kukubeba ila kura watapigia mwingine. Labda wewe wasubirie kuwapiga kwenye sanduku
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Ukulila udatulilweHuu msemo haupo usukumani, wasukuma sio, watapeli
Hakuna kama Samia, lazima tukubalianeCCM inatakiwa kuwa na RCS na DCs wa aina hii, Hongera Rais wangu kipenzi Samia