SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

Parachichi kutoka 1000 sasa hivi bila 2000 au 2500 hupati
 
Ila watu weusi kuna mahali Mungu alitutendea vibaya kichwani.
 
Anaschaje kushinda kwa mambo makubwa na mazuri kama haya?👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220608-153546.png
    Screenshot_20220608-153546.png
    145.3 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220608-153536.png
    Screenshot_20220608-153536.png
    138.7 KB · Views: 12
Kuongoza watanzania ni kazi nyepesi sana, na hapa ndo utakuja kujua kwamba ile kauli ya kwamba "waafrica ni wamoja isipokuwa mipaka tu ndo imetutenganisha" kuwa ni ya uongo, species za kenya tu hapa ambao tumepakana nao ni tofauti kabisa na hizi ndina za Tz, achilia mbali SA ambako mtasema ni mbali.
Sahihi
 
Back
Top Bottom