Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,381
- 1,600
No,Awe wa maisha jaman
Mnasemaje wadau wangu????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No,Awe wa maisha jaman
Mnasemaje wadau wangu????
Duuuh,Acha uongo. Hapa singida sisi wakulima wa mbaazi tulikuwa tunalia mpaka tunamsubili jpm akatize tu tumponde mawe kwa kuharibu zao la mbaazi Kama alivyotaka kuuawa kule luangwa kwa kuharibu zao la korosho. Yule bwana kila zao ilikuwa kilio halafu anajiita mtetezi wa wanyonge kumbe anawanyonga.
BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka Tshs 1,720-1,800/kg kwa kilo hivi sasa,
Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money" NO CASH NO COTTON
Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo.
kwa msiofahamu,Turufu pekee ya kisiasa Kanda ya Ziwa ni "Bei ya Pamba"
CCM imekuwa ikihenyeshwa katika kila Uchaguzi kosa la CCM ikiwa ni kushindwa kudhibiti "Bei Ya Pamba "
RC Kafulila anasema ,tangu Uhuru bei ya Pamba haijawahi kufikia Tshs 1,720-1,800/kg ila ni kwa awamu hii ya Sita na Mhe Samia Suluhu ndio Rais,
Leo Mama Samia ameamua kupunguza faida ya Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba ili kumtetea huyu Mlalahoi kwa Vitendo kwa kumwongezea Tshs 700/kg ya Pamba atakayouza iliyokuwa iende kwa Mnunuzi kama faida Mama ameirudisha kwa Mkulima na hii ndio maana halisi ya "Mama"
Msikilize huyu Mwamba Mpaka mwisho,
View attachment 2253903
Mkuu hebu fafanua kwa kina,Kuongoza watanzania ni kazi nyepesi sana, na hapa ndo utakuja kujua kwamba ile kauli ya kwamba "waafrica ni wamoja isipokuwa mipaka tu ndo imetutenganisha" kuwa ni ya uongo, species za kenya tu hapa ambao tumepakana nao ni tofauti kabisa na hizi ndina za Tz, achilia mbali SA ambako mtasema ni mbali.
Wapi huko?Dawa ya meno ilikua 3000 sasa 5000 wacha kazi iendelee!
Wewe ni kiongozi wa level gani?Kuongoza watanzania ni kazi nyepesi sana, na hapa ndo utakuja kujua kwamba ile kauli ya kwamba "waafrica ni wamoja isipokuwa mipaka tu ndo imetutenganisha" kuwa ni ya uongo, species za kenya tu hapa ambao tumepakana nao ni tofauti kabisa na hizi ndina za Tz, achilia mbali SA ambako mtasema ni mbali.
atakuwa bawachaWewe ni kiongozi wa level gani?
Hakika Mama Samia SULUHU Hassan Anaupiga Mwingiiiiiii na anatumia akili nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sana kuliongoza taifa, ona maendeleo, nenda madarasa 15,000....wakulima ni Furaha, nenda miradi mikubwa inaendelea vema, Sasa kumtua ndoo Mama KICHWANI ni lazima miradi ya maji Bwerereeeee, Mama Anaupiga Acrobatics aiseee kila kona sifaaa....Sasa ni Simiyu kwa mwamba wa Escrow David Kafulila.....BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka Tshs 1,720-1,800/kg kwa kilo hivi sasa,
Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money" NO CASH NO COTTON
Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo.
kwa msiofahamu,Turufu pekee ya kisiasa Kanda ya Ziwa ni "Bei ya Pamba"
CCM imekuwa ikihenyeshwa katika kila Uchaguzi kosa la CCM ikiwa ni kushindwa kudhibiti "Bei Ya Pamba "
RC Kafulila anasema ,tangu Uhuru bei ya Pamba haijawahi kufikia Tshs 1,720-1,800/kg ila ni kwa awamu hii ya Sita na Mhe Samia Suluhu ndio Rais,
Leo Mama Samia ameamua kupunguza faida ya Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba ili kumtetea huyu Mlalahoi kwa Vitendo kwa kumwongezea Tshs 700/kg ya Pamba atakayouza iliyokuwa iende kwa Mnunuzi kama faida Mama ameirudisha kwa Mkulima na hii ndio maana halisi ya "Mama"
Msikilize huyu Mwamba Mpaka mwisho,
View attachment 2253903
Wapi huko?
Ila huyu huenda ndio mpango wa Mungu mwenyewe,Hakika Mama Samia SULUHU Hassan Anaupiga Mwingiiiiiii na anatumia akili nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sana kuliongoza taifa, ona maendeleo, nenda madarasa 15,000....wakulima ni Furaha, nenda miradi mikubwa inaendelea vema, Sasa kumtua ndoo Mama KICHWANI ni lazima miradi ya maji Bwerereeeee, Mama Anaupiga Acrobatics aiseee kila kona sifaaa....Sasa ni Simiyu kwa mwamba wa Escrow David Kafulila.....
Size gani? Zipo mpaka za 50KMpaka huu mwaka uishe Colgate itafika 10000
Kwani Uchaguzi sio maendeleo?Unahitaji kuwa mjinga ili uishi kwa amani nchi hii. Watu baada ya kuomgelea maendeleo ya nchi, anaongelea uchaguzi ambao upo miaka mitatu mbele.
Hoja yangu ni bei ya pamba,Tafadhari sana we kijana ni heri ukae kimya kuliko kutuletea huu upuuzi wako kwaio sie tule pamba au kwa nini hujasema awamu hii ndio awamu ambayo wananchi wake wamekumbwa na matatizo kibao njaa uchumi unakuja kuropoka hovyo hapa
Kukiwa na kitu kizuri lazima tukisifie.....Kweli Samia ni rais aliye bora sana.BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka TZS 1,800/kg kwa kilo wakati huu wa Mama Samia Suluhu Hassan,
Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money" wao wanasema "NO CASH NO COTTON"
Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo.
kwawale msiofahamu,Turufu pekee ya kisiasa Kanda ya Ziwa ni "Bei ya Pamba" tu,Yaani Ukimaliza na Pamba umeshinda Uchaguzi,
Huko nyuma, CCM imekuwa ikihenyeshwa karibu katika kila Uchaguzi huku kosa la CCM likiwa ni kushindwa kudhibiti "Bei Ya Pamba " tu,
RC Kafulila anasema ,tangu Uhuru bei ya Pamba haijawahi kufikia TZS 1,800/kg ila tu ni kwa awamu hii ya Mhe Samia Suluhu,
Leo Mama Samia ameamua kupunguza faida kwa Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba,
Lengo likiwa ni kumtetea huyu Mlalahoi kwa Vitendo kwa kumwongezea TZS 700/kg ya Pamba atakayouza,
Pesa hii maranyingi ilikuwa ikiende kwa Mnunuzi kama faida,
Leo hii Mama Samia ameirudisha kwa Mkulima na hii ndio maana halisi ya "Mama"
Msikilize huyu Mwamba Mpaka mwisho,
View attachment 2253903
Rubbish, Kipindi kahama kilo 4,000 mbaazi 3,500, dengu 3,500 alikuwepo? soko ndiyo linaamua kulingana na mahitaji ya muda huoKwani kabla Samia soko la dunia halikuwepo?